hahaha usishindwe braza....we ndugu yangu bwana, ss kama naingia shimoni unaniacha tu sababu umeshindwa!
Naondoka zangu tuu nimeshindwa kukushauri
Ni kweli shem, kila family ina taratibu zake,.lakini kushauriana si vibaya shem-shemEeh shem
Si mbaya siwez ungilia utaratib wa familia
Hapana wala hata sikuui hata kidogo madam...najaribu kuona ukweli upo wapi hapa, anajitahidi kuwa strong juu yako kwakweli...Morning to you Miller
Naona unaniua tuu, ila mefurahi ndugu yako yupo strong juu yangu
HahahaMorning to you Miller
Naona unaniua tuu, ila mefurahi ndugu yako yupo strong juu yangu
babe hebu muache huyo...Ni kweli shem, kila family ina taratibu zake,.lakini kushauriana si vibaya shem-shem
Kwa kuwa shem maisha yenu yanaenda na hakijawahi haribika neno basi njia yenu ya maisha ina wafaaNi kweli shem, kila family ina taratibu zake,.lakini kushauriana si vibaya shem-shem
Ndugu yako lakini babe...babe hebu muache huyo...
Shem jomoniiiKwa kuwa shem maisha yenu yanaenda na hakijawahi haribika neno basi njia yenu ya maisha ina wafaa
Idea ya mwanamke kukusaidia ku make money siyo lazima afanye kazi na yeye akupe pesa anaweza kukusaport tuu kwa idea za kuboresha biznez, kusaidia kufunga mahesabu, kutafuta ushuri kwa watu, kutafuta wateja etc.hahaha usishindwe braza....we ndugu yangu bwana, ss kama naingia shimoni unaniacha tu sababu umeshindwa!
babe hebu muache huyo...
Ndugu yako lakini babe...
aiseeeIdea ya mwanamke kukusaidia ku make money siyo lazima afanye kazi na yeye akupe pesa anaweza kukusaport tuu kwa idea za kuboresha biznez, kusaidia kufunga mahesabu, kutafuta ushuri kwa watu, kutafuta wateja etc.
Mimi hata huku porini nilipo now ni Ney dio alinipa hiyo Idea. Nikisha rudi na mzigo hata akispend ni haki yake.
Naomba status yako tafadhali, una pesa yako tayariTafuta ambae tayari ana pesa zake.
Mfyuuuuu!akikuomba hela we mwambie njoo uchukue
akija unaliamsha dude kisha unamkopa yeye
Baki na hamu zako
eti niongezee... [color=blue/]kama anataka hela aende bankkwa nini umemchagua ambae hana hela sasa? manake ni chaguo lako hilo.. inatakiwa upate anaejitegemea kwa hivyo vitu vidogo vidogo kama peruvian hair na kodi ya nyumba nk.. wewe upigwe mizinga mitakatifu kama baby nimepata kiwanja nimepungukiwa milioni 10 niongezee, au nimechoka hii IST nataka Mark X bby nina milioni tano niongezee..
a real woman doesn't help u spend your money she helps u to make more money