Binti mrembo auawa kisa facebook

Hassbaby

Member
Jun 19, 2011
26
2
Waungwana hizi social network tuwe makini nazo binti mrembo ameuwa baada ya kukutana na rafiki wa facebook ambae amekuwa mpenzi wake, wakiwa hotelini jamaa mwengine ambae alikuwa x wa huyo dem akatokea na kuanza kumkata mapanga mpaka kumuua, angalieni na watu mnaokutana nao jaman mtapotea
Tazama zaidi tukio zima hapa PICHA ZA BINTI

BINTI ALIEUAWA KINYAMA KISA FACEBOOK ~ Hassbaby's (Mapacha)
 
Si facebook si lolote ni selfishness ya wanaume na mfumo dume hapa
 
Si facebook si lolote ni selfishness ya wanaume na mfumo dume hapa

Unajuaje labda, binti alimwahidi jamaa atampa moyo wake halafu amebadili mawazo na kumpelekea mwingine, aliyepewa mwanzo ameamua kuchukua moyo alioahidiwa.

Ubinafsi haupo kwa wanaume tu, hata wanawake wanao. Kuna wa2 wakipenda wanapenda kweli wapo tayari kujitoa mhanga siyo kudhulumiwa penzi lao.
 
yalaiti napenda pasipo kifani
tofauti sizitilii moyoni
sikuachi Leo na kesho peponi.....

 
Fesibuku umeichomekea hapo kuilaumu tu. Angekuwa jamaa aliyekutana nae fb ndio kamkata mapanga ndio ungetupia lawama hapo lakini mdada amekatwa na x wake.
 
Unajuaje labda, binti alimwahidi jamaa atampa moyo wake halafu amebadili mawazo na kumpelekea mwingine, aliyepewa mwanzo ameamua kuchukua moyo alioahidiwa.

Ubinafsi haupo kwa wanaume tu, hata wanawake wanao. Kuna wa2 wakipenda wanapenda kweli wapo tayari kujitoa mhanga siyo kudhulumiwa penzi lao.

Hakuna cha kupenda kweli, huo ni ujinga tu ndo unawasumbua baadhi ya wanaume we unashindwa kufanya mambo yako unaenda kufanya upuudhi kama huo kweli we zimetimia, unawaza future kweli? wakati huu si wa kupigania wanawake kama kweli mtu unajielewa, kuna mambo mengi ya kufanya na kufikiri si upuuzi kama aliyo ufanya huyu *****. think twice before act
 
Waungwana hizi social network tuwe makini nazo binti mrembo ameuwa baada ya kukutana na rafiki wa facebook ambae amekuwa mpenzi wake, wakiwa hotelini jamaa mwengine ambae alikuwa x wa huyo dem akatokea na kuanza kumkata mapanga mpaka kumuua, angalieni na watu mnaokutana nao jaman mtapoteaTazama zaidi tukio zima hapa PICHA ZA BINTIBINTI ALIEUAWA KINYAMA KISA FACEBOOK ~ Hassbaby's (Mapacha)
hili tukio limetokea nchi gani?
 
Eti hii imetokea Tanzania au Nigeria? tupe taarifa zilizokamilika , aise jamani mapenzi kumbe ni hatari hadi nimeogopa jamani kumbe unaweza kujikuta umechukua maamuzi kwenye hasira na kufanya kitendo chakinyama namna hii. Oh hii balaa
 
Hakuna cha kupenda kweli, huo ni ujinga tu ndo unawasumbua baadhi ya wanaume we unashindwa kufanya mambo yako unaenda kufanya upuudhi kama huo kweli we zimetimia, unawaza future kweli? wakati huu si wa kupigania wanawake kama kweli mtu unajielewa...
sio ujinga wala upumbavu ni kitu kupenda na malengo mliyowekeana kisha yanakuwa tofauti,unaweza kuua halafu baadae ndo unaanza kujuta
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom