Binti mchepuko zingatia

uyo dada kutaka kujiua sbbu ya mume wa mtu amekutana na dushe ya dhahabu au, Mungu anisamehe siwezi jiua sbbu ya mwanaume kama mapenzi yameisha acha maisha mengine yaendelee kuna maisha mengine bada ya mapenzi.
Kule makapuku forum kuna kijana anakupenda![emoji1]
 
Hapana mwanaume ni wa huku mwanamke si wa huku . Na nimemuomba mwanaume akakubali nitoe kama ushauri kwa girls wengine .. sina nia mbaya ya kumsema mtu ... asingekubali wala nisingeweka na nimemtumia kabla ya kupost na akaona ipo pouwa.. samahani kama nimekukwaza
 
Mabinti wanajiweka kwenye mazingira hatari sana, mie nimetangaza vita nikikufuma unapotea kama wa Saanane tuu maana hamna namna ingine. Mie mwenye mume sijawahi waza kujiua sababu yake we unaanzaje labda????!!!
 

Mengineyo tena ya hatari kabisa akina Hepatitis A, B, C , E........Z
Twafwaaaa[emoji57]
 
Mabinti wanajiweka kwenye mazingira hatari sana, mie nimetangaza vita nikikufuma unapotea kama wa Saanane tuu maana hamna namna ingine. Mie mwenye mume sijawahi waza kujiua sababu yake we unaanzaje labda????!!!
Ha ha ha wanajitoa ufahamu
 
Wanaume hua ni kutamani tu na anaependwa ni 1 tu, we jifanganye...men flirt for sex only
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…