Bonde la Baraka
JF-Expert Member
- Sep 22, 2016
- 4,580
- 7,938
Wakuu kwema!
Niliwahi kuleta uzi awali nikielezea kuwa kama una mke ambaye ni mtumishi katika ofisi tofauti na yako hapo hesabu maumivu.Ingawa si wanawake wote wako hivyo ila wengi wako hivyo naturally.
Twende kwenye mada husika; Ni binti mmoja ananipenda na sasa huwa ananipa zawadi ndogondogo kama fedha, vinywaji n.k huku akionyesha kwa vitendo na maneno kuwa ananipenda ingawa anajua kuwa nina mke na mtoto.
Msela wake ambaye yuko nje ya Dar hampendi kivile ingawa kamtolea mahari.
Binti nafanya naye kazi kitengo kimoja. Tukiwa ofisini wawili tu anafurahi sana na kunisifia muda wote.
Juzi nilitaka nivunje amri kuu ila nikashinda jaribu.
Ushauri: Ishini na wake/wachumba wenu kwa akili na kwa kumwomba Mungu sana.