Chupayamaji
JF-Expert Member
- Sep 19, 2017
- 5,786
- 13,561
Wewe ni mimi aiseeSiwezi angalia muvi ya kibongo ata iwekwe wapi.
Wewe ni mimi aiseeSiwezi angalia muvi ya kibongo ata iwekwe wapi.
Hivi ndio ya kwanza kumbe?Kweli sema tunaizungumzia sababu ya kuwa filamu ya kwanza ya kibongo.
Angel Nylon njoo umsaidie mdau hapa.Naombeni mnifundishe namna ya kutumia Netflix wakuu
Hivi ndio ya kwanza kumbe?
Ile ya Idris Sultan je?Kwa filama ya kitanzania ndio ya kwanza.
Haina uzuri wowote. Tusisifie ujingaSiyo ya kwanza.. bali director wa kwanza Mtanzania. Kuna kama mbili tatu za director Mzungu(bado sijaziangalia).. Ila hii imegusa aina 4 za maisha yanayowakabili binadamu maishani.. Ameiweka kiaina yake na ni nzuri..
BoraAngel Nylon njoo umsaidie mdau hapa.
Labda kama unazungumzia kulipwa bonus manake katika mazingira ya kawaida, Waigizaji wanakuwa wameshalipwa kitambo!! Huyo Mtunzi nae itategemea kama ana role nyingine zaidi ya kuwa mtunzi (scriptwriter).Hiv mwigizaji/mtunzi atapataje hela kwa filamu yake kuoneshwa Netflix?
Bora umejisema kwa ujinga ulioandika..Haina uzuri wowote. Tusisifie ujinga