Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,259
- 34,214
Kama kweli ANAPENDA, narudia tena...KAMA KWELI ANAPENDA UALIMU WA ARTS basi mwache akasome...Kwa kombi yake hiyo asomee Nini itakayomsaidia?
Ila kama anataka kusoma ualim ili apate mkopo basi mwambie anajiingiza chaka!!
Mimi ningekua yeye ningekomaa na law, why? Japo haina ajira za serikali ila kidogo ina ka demand mtaani tofauti na mwl wa arts... Tena akipata ya mzumbe au udsm akamaliza akaenda law school mwaka mmoja.... Atakua mbali sana!!
Anyways aangalie anachopenda toka moyon ila ajue kabisa arts kwa ualimu kwa sasa atapata stress zisizo na baba wala mama akimaliza chuo...