Binti amepata Div 2 point 12 mchepuo wa HGK anaweza kusomea kozi gani Chuo kikuu?

Kwa kombi yake hiyo asomee Nini itakayomsaidia?
Kama kweli ANAPENDA, narudia tena...KAMA KWELI ANAPENDA UALIMU WA ARTS basi mwache akasome...

Ila kama anataka kusoma ualim ili apate mkopo basi mwambie anajiingiza chaka!!

Mimi ningekua yeye ningekomaa na law, why? Japo haina ajira za serikali ila kidogo ina ka demand mtaani tofauti na mwl wa arts... Tena akipata ya mzumbe au udsm akamaliza akaenda law school mwaka mmoja.... Atakua mbali sana!!

Anyways aangalie anachopenda toka moyon ila ajue kabisa arts kwa ualimu kwa sasa atapata stress zisizo na baba wala mama akimaliza chuo...
 
Hivi nyie watoto wa siku hizi mnapokuwa mnasoma mnakuwa hamjui mnataka kuwa kina nani mpaka muje kuuliza JF kuwa unataka kusoma kozi gani? Jamani namna hii tutatoka kweli? Yaani we tangu unasoma form 1 mpaka form 6 unakuwa hujui unataka uwe Bwana shamba,Mhasibu,Mwalimu n.k?

Kuna tatizo mahala walah hii kitu si bure nimekuwa nashangaa sana kuona thread kama hizi humu zimekuwa nyingi mno
Hahaha karibu Tanzania Big Bro, hii ndio Tanzania yetu.
 
Namwonea huruma sana! Education? Mwambie ajiulize wenzake tokea 2015 wako mtaani hawana la kufanya alafu yeye anataka kusoma elimu tena arts!!! Daaah
Mambo yanabadilika ndugu, hali haitaendelea kuwa hvyo forever, ni kipindi cha mpito tu kwa waalim wa sanaa bt nacho kitapita.
 
Inauma sana kiongozi dogo angu mpaka leo hana kazi, ila huezi may be ana connection who knows!!

Kwa kombi yake na huu uchumi wa viwonder kusoma education ni kujitakia presha...
Kiujumla kwa kombi yke hapo ni ualimu, sociology, pspa nk kozi ambazo kwa awamu hii zimekuwa mwiba, bt kwa kombi yake ningeshuri aende education tu, mambo yatabadilika hayatabaki hvi hvi milele, wala awamu haitabaki hii milele.
 
Mambo yanabadilika ndugu, hali haitaendelea kuwa hvyo forever, ni kipindi cha mpito tu kwa waalim wa sanaa bt nacho kitapita.
Malaika jiwe ana miaka 10 kwa sasa amebakiza almost 7years..

Dogo akianza chuo mwaka huu atamaliza 2021 jiwe atakua madarakani..

Ajira zikitoka jua wataanza kuajiriwa wa 2015,2016,2017,2018,2019,2020 alafu ndio yeye aje afikiwe kwenye 2021 au 22..

Sasa hapo achague mwenyewe wapi pana unafuu...
 
Kwa kombi yake hiyo asomee Nini itakayomsaidia?
Labda hatujauliza hiyo education anayopenda ana connection yeyote kiasi kwamba akimaliza hatasumbuka kuzunguka Na bahasha?
Maana tusije tukawa tunapinga Kumbe yeye ameshaweka target zake!

Kama nyumbani mboga saba aende tu akapanue uelewa
 
Malaika jiwe ana miaka 10 kwa sasa amebakiza almost 7years..

Dogo akianza chuo mwaka huu atamaliza 2021 jiwe atakua madarakani..

Ajira zikitoka jua wataanza kuajiriwa wa 2015,2016,2017,2018,2019,2020 alafu ndio yeye aje afikiwe kwenye 2021 au 22..

Sasa hapo achague mwenyewe wapi pana unafuu...
 
Malaika jiwe ana miaka 10 kwa sasa amebakiza almost 7years..

Dogo akianza chuo mwaka huu atamaliza 2021 jiwe atakua madarakani..

Ajira zikitoka jua wataanza kuajiriwa wa 2015,2016,2017,2018,2019,2020 alafu ndio yeye aje afikiwe kwenye 2021 au 22..

Sasa hapo achague mwenyewe wapi pana unafuu...
, kiukweli ndio uhalisia na mambo yatabadilika tu pale awamu nyingine itakapokuja, kiujumla mimi ningemshauri asome hyo hyo education kwa manufaa ya baadae, au kama anaujasiriamali anaofanya kwa sasa basi aelekeze nguvu na akili zote hko shule aiweke pembeni kwanza atasoma ata baadae coz matokeo haya expire
 
Hahaha karibu Tanzania Big Bro, hii ndio Tanzania yetu.
Mi navyoona threads kama hizi nasikitika kweli kwa Tanzania ijayo yaani nakuwa nawaza hata kufaulu wana faulu vipi.......bora hata anayeuliza Chuo kipi akasome kwa kozi fulani angalau kidogo huyu anamake sense!!
 
Nipe Contact Zake Nimchumbie ili nimuowe nahisi Nitakuwa Nimeshamsaidia Pakubwa! Venginevyo Basi ajiaandae Kutembea na Bahasha with Mirundo ya Failed interviews.
 
Anataka kusomea education sio
Vip ameahajiandaa kisaikolojia na mshahara wa education serikalin
 
Back
Top Bottom