Wewe jamaa una iq ndogo Kama tunda ya ubuyu,
Hiyo yote Ni mikakati iliyopangwa na huyo binti ,baada ya dereva wa Lori kumpaka mkongo,Kuna siku atakutafuta lakini,hapo hamna uchawi wowote

Uko sahihi sana mkubwa,ni muhimu sanaa kufatilia historia za mademu,mademu wana mambo mengi sana yaaani..kuna familia zinamambo ya ajabu sana yaani dah..inanikumbusha mbali sana asee.

JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.