Binti alotiwa mimba.....

Binti alotiwa mimba.....

Boflo

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2010
Posts
4,383
Reaction score
4,412
Mzee mmoja aliongozana na binti yake kwenda kwa mwanaume aliyempa mimba, huku akitweta kwa hasira. Mazungumzo yalikuwa hivi:- KIJANA:- Ni kweli mzee mimi nimemtia mimba binti yako. Ila akizaa dume nitakupa daladala 5, nyumba na million 50 za mtaji, akizaa jike nitakupa kiwanja, shamba na million 30. BINTI:- Je mimba ikitoka? BABA:- Nyamaza wee pumbavu! si atakupa nyingine..
 
Hahahaaaa.... Safi sana hiyooo..!
 
Mzee huyu achelewi kusema kuna wadogo zake wawili wa kike nyumbani , itakuwa vema nao ukiwapa stahili zao

na mkewe kabisa!manake dah!mzee kapiga mahesabu kaona kashatusua hapo!
 
He he he , ikitoka atamshikia miguu aiweke vizuri
 
hahahahaha baba kaona bonge la dili kashatoka maisha haya...hahahahaha
Mzee mmoja aliongozana na binti yake kwenda kwa mwanaume aliyempa mimba, huku akitweta kwa hasira. Mazungumzo yalikuwa hivi:- KIJANA:- Ni kweli mzee mimi nimemtia mimba binti yako. Ila akizaa dume nitakupa daladala 5, nyumba na million 50 za mtaji, akizaa jike nitakupa kiwanja, shamba na million 30. BINTI:- Je mimba ikitoka? BABA:- Nyamaza wee pumbavu! si atakupa nyingine..
 
Hii kitu mali inatufanya tupoteze utu kabisa mh!
 
Mzee mmoja aliongozana na binti yake kwenda kwa mwanaume aliyempa mimba, huku akitweta kwa hasira. Mazungumzo yalikuwa hivi:- KIJANA:- Ni kweli mzee mimi nimemtia mimba binti yako. Ila akizaa dume nitakupa daladala 5, nyumba na million 50 za mtaji, akizaa jike nitakupa kiwanja, shamba na million 30. BINTI:- Je mimba ikitoka? BABA:- Nyamaza wee pumbavu! si atakupa nyingine..

job true true aisee...
 
Hahahahahaaaaaaa chezeyaaaaa mijihelaaaaaa wewe Boflooooooooooooooooooooooooo!!!!
 
Last edited by a moderator:
Mzee mmoja aliongozana na binti yake kwenda kwa mwanaume aliyempa mimba, huku akitweta kwa hasira. Mazungumzo yalikuwa hivi:- KIJANA:- Ni kweli mzee mimi nimemtia mimba binti yako. Ila akizaa dume nitakupa daladala 5, nyumba na million 50 za mtaji, akizaa jike nitakupa kiwanja, shamba na million 30. BINTI:- Je mimba ikitoka? BABA:- Nyamaza wee pumbavu! si atakupa nyingine..

Tehe, Tehe!
Huyo mzee atakuwa ni mpalestina wa machame tuu!
 
unachezea umaskini wewe?

mbona hata kwa superglue unainatisha isitoke?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom