Binti aliye tayari kufunga ndoa! Ni mkristo, leo tu nimepima sina virusi n.k!

Tabora kwetu

Senior Member
Sep 20, 2014
187
51
Mvulana mrefu,182cm mwembamba maji ya kunde.

Naishi Tabora mjini, nahitaji binti wa KUOA .

Elimu, nasoma degree chuo flani.

Aliye tayari ani PM.
 
Iana Nimepima hii mara ya4 mpaka kujinadi hum jf. vpeperush na Uthbtsho nnavyo! lakn naww LAZMA Tpme kwanza wote! 3MONTH
 
Jacobian Kwa upande wa maisha niko VZR! wala haina shida kwan hata boom sina. najisomesha........
 
Tabora hakuna wanawake ila humu Jf tu.
Acha unafiki "kupenda usiomuona,wale unaowaona chuo hawafai.

Goodluck
 
Pumba kama hivi wasichana wakisema hatuoni wanaume wa kuwaoa mnalalamika. Yaani kujua huna UKiMwi ndoo umemaliza
 
yaan umekaa umejifikiria ukaona uandike hv.....!!!!
utakuwa unasoma chuo cha wendawazimu sio bure...!!!!
 
Jamani!! nahitaj binti wa kumuoa! Aliye tayari ANI PM........! comment zenu nying mnani vunja moyo......!
 
Asa tabora kote uko hakuna madem kaka mpaka utafute madem mtandaon? Achen kujidhalilisha bhana, kama domo zege tumia hata wapambe tu, kuliko mtoto wa kiume kulialia majukwaan uku
 
Mvulana mrefu,182cm mwembamba maji ya kunde.

Naishi Tabora mjini, nahitaji binti wa KUOA .

Elimu, nasoma degree chuo flani.

Aliye tayari ani PM.

kwaio ww umeona sifa ya kwanza n free hiv??? uyo mwanamke atakula nn....io degree yako au??
hebu rud shule ww
 
Back
Top Bottom