Eeeeeh hatari kaka....ishu ni mim ntaonekana kituko home kakaNi bora kumuumiza mara moja kwa ukweli wa kuwa huna nia nae yoyote kuliko kumuumiza kila siku kwa uongo ambavyo unafanya sasa hivi.
Pale unapokuwa nae anajipa imani kuwa wewe ni mtu wake kumbe wewe unamuona hakufai. Kwa maana nyingine unamfungia njia yake ya kupata mtu atakeridhika na tattoo zake.
Ila kumbuka katika mahusiano siku zote ni bora kuwa na mtu anaekupenda zaidi kuliko wewe kumpenda yeye zaidi. Tattoo na matundu ya masikio haya define utu wa mtu. Walimwengu hawakosi la kukosoa. Utakuja kutana na mwenye matundu mawili tu ya masikio na bila tattoo ila mwili wake ushatobolewa kila sehemu na uume za watu.
Kwamba Mungu anipe adhab ya kunichoma moto milele mim mtoto wake kipenz ambae kaniumba mwenyew et kisa na.tombana....haiingii akiliUshauri wangu kwako :
Acha zinaa! Ikimbieni zinaa! Muogope MUNGU maana kuna siku inakuja utatoa hesabu kamili ya yote uliyoyafanya.
Mwenye masikio na asikie.
umeshasema kikwazo ni tattoo zake ziko wazi hautaeleweka nyumbani kwenu,
trust me hao wa home watakaokuona kituko wana yao mengi ambayo ukiyaona ama kuyajua wewe na mwanamke wako wa tattoo mtaonekana malaika.
Sawaa mkuuumeshasema kikwazo ni tattoo zake ziko wazi hautaeleweka nyumbani kwenu,
ongea nae afute tattoo zinazoonekana na asivae hereni nyingi wakati unaenda kumtambulisha.
Trust me kama unampenda kweli hizo tattoo na hereni ni jambo dogo maana umesema unaangalia watu wanaokuzunguka means wewe huna tatizo nazo.
Nmekuelewa kakatrust me hao wa home watakaokuona kituko wana yao mengi ambayo ukiyaona ama kuyajua wewe na mwanamke wako wa tattoo mtaonekana malaika.
Kama umefikia umri wa kujitegemea basi mawazo ya watu wa home ni jambo la mwisho kabisa unalopaswa kufikiria. Mwisho wa siku wewe ndie utakaeishi na yeyote utakayemchagua sio wao. Na binadamu wameumbiwa kusahau, watasema siku 2 tatu watapata jipya na wewe utasahaulika,
Kama unampenda huyo binti na unaamini anakupenda basi fuata nafsi yako ila kama unahisi huna mapenzi nae muache aendelee na maisha yake. Kuna laana nyingine huwa tunajitakia wenyewe kwa kuliza watu.
MUNGU hajakukataza kutomb*****na. Yeye ndiye aliyekuumba na kukuwekea mfumo mzima wa uzazi. Yeye ndiye aliyeumba mapenzi.Kwamba Mungu anipe adhab ya kunichoma moto milele mim mtoto wake kipenz ambae kaniumba mwenyew et kisa na.tombana....haiingii akili
Sent using Jamii Forums mobile app
wala hio sio sababu ya msingi ujampenda na kumkubali jinsi alivyo.. na utamkumbuka shauri yako wenzako huoni wanavyolia humu wamepata wanawake vimeo na hawana hizo tatoo wala hawajatoboa matundu 100