comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 6,526
- 11,672
Huyo dogo kama polisi watakaa kimya kwamba hawaponae ndio imetoka hiyoAfu kuna magense yanataka 29 yakapige kura yatakuwa na mtindio wa ubongo😠😠
Polisi wanakamata wenye afu wanakana hawajamkamata hili taifa limejaa ujingaujinga tu daaah😠😠😠Huyo dogo kama polisi watakaa kimya kwamba hawaponae ndio imetoka hiyo
Wasje wakambaka tu aiseePolisi wanakamata wenye afu wanakana hawajamkamata hili taifa limejaa ujingaujinga tu daaah😠😠😠
Lazima wamumbato tu hoyo ila hawawezi kumuua watamuachia tuWasje wakambaka tu aisee
Ukishaona hivyo Watu washavurugwa hawaogopi tena sio kama zamani,Nitoe ushauri tu hata kama hamtaki kushauriwa.
Ukitaka kufanya au kwenda kinyume na WATAWALA.. kwa kutumia TECHNOLOGY hasa social media etc basi hakikisha unakuwa ANONYMOUS. sasa ww ni mwanaharakati wa mtandaoni ila bado umejipost mara uweke namba za simu hapo hapo.. unategemea nini?
Sometimes wazee wa Spana mtumie akili..
Sasa lengo halitatimia kwa style hiyo..Ukishaona hivyo Watu washavurugwa hawaogopi tena sio kama zamani,
Hiyo kupiga spana umeiweka vibaya inakua kama mtu anasema uongo, sema SEMA UKWELI WAKO HALAFU TULIA, halafu mwanaume unakuaje muoga hivyo unazidiwa hadi na wanawake? Kama wewe umeshindwa kaa nyumban oga utakate ukae kwenye sofa upake na manukato halafu subiri usaidiwe na watoto wa kike.Sasa lengo halitatimia kwa style hiyo..
Stay anonymous piga spana zako, tulia.
Ukijianika hivyo wanakubeba kama Kuku.
Kwanza wanaokuja kunikamata wawe wanamafunzo maalumu kutoka urusi lasi ivyo watarudi wakiwa hoiSasa lengo halitatimia kwa style hiyo..
Stay anonymous piga spana zako, tulia.
Ukijianika hivyo wanakubeba kama Kuku.
Hizi ndio kauli za kiume sasaKwanza wanaokuja kunikamata wawe wanamafunzo maalumu kutoka urusi lasi ivyo watarudi wakiwa hoi
Hii point kubwa sana, natokea Bagamoyo road huku tukupitie wapiUnaomba? Huu ndo ujinga wa watu mnaosubiri kuandamana hadi tarehe 29 kwanini watu wasiandamane sahivi, alafu unasema unaomba wasimbake nyie ndo wale mijitu mioga iliyojaa mtandaoni mnapiga mikwara ila yakiitishwa maandamano hamtoki sasa hata wakimfanya chochote kati ya hayo uliyoyasema utafanya nini? Kama kuandamana huwezi?
Mdude kapotea, soka kapotea ila tayari mmeshawasahau na ni juzi tu, kama kweli nia ya maandamano ipo ilitakiwa ianze sasa laa sivyo ukijijua huna ujasiri wa kujitoa kuandamana na mtandaoni kaa kimya laa sivyo mwisho wako unaweza kuwa kama huo wa kutekwa na hamna mtu atakaetoka kuandamana kwaajili yako kwasababu mitandaoni wamejaa wanafikiki hawawezi kuandamana hata hatua 10 kwaajili yako, wako kwaajili ya kutafuta comments na likes.
Na mkiendelea na unyumbu huu mwisho wenu wote utaishia kutekwa laa sivyo muandamane sasa hivi bila kuogopa chochote