Binti agundua mpenzi wake ana mahusiano ya kimapenzi na mama yake mzazi

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,595
215,272
Huyu mama wa binti mmoja tu, mchacharikaji anaemiliki guest house kama 20 katika miji tofauti. Yeye hakuwahi kuolewa na sexual life yake ni ya siri sana. Kumbe hupenda kuvinjari na vijana akiwa anatembelea guest zake.

Binti yake aliyemsomesha mwenyewe baada ya kumaliza shule na kupata kazi, akiwa anaishi nyumba moja na mama yake. Binti ametokea kumpenda kijana ambae mama pia ameamua kutuliza moyo kwa kijana yule. Mama akiahidi kumtunza kijana kwa gharama zozote zile.

Kijana alikuwa na wakati mgumu. Pesa ya mama anaipenda na penzi la binti analitaka. Aliamua kuwaridhisha wote kwa wakati mmoja.

Mama anasema katika utu uzima wake wote hajawahi kufika Kibo na Mawezi mpaka alipokutana na kijana. Alimuomba kijana amuachie binti ili waendelee kupanda raha. Kijana aliwaza future anahitaji mke na watoto na mama alishapita kituo kiitwacho menopause. Kijana penzi lote liko kwa binti.

Mama alisuka zengwe hilo binti akapata murder case. Alikua ndani na mama aliwapa ushirikiano polisi akijua hukumu ikitokea kama si maisha ni miaka 30 lupango.

Alitolewa lock up na kijana mmoja, alipofika nje alikutana mama amepiga bei mali zake nyingi ili aka anza maisha na kijana katika nchi ya mbali.

Tatizo kijana alimuelewa binti kuliko anavyomuelewa mama. Kijans alimpigia chini. Wakati huo huo mtoto wake alimkana.
 
Screenshot_20211128-215239_Google.jpg
 
Mama anasema katika utu uzima wake wote hajawahi kufika Kibo na Mawezi mpaka alipokutana na kijana. Alimuomba kijana amuachie binti ili waendelee kupanda raha. Kijana aliwaza future anahitaji mke na watoto na mama alishapita kituo kiitwacho menopause. Kijana penzi lote liko kwa binti.

Mama alisuka zengwe hilo binti akapata murder case. Alikua ndani na mama aliwapa ushirikiano polisi akijua hukumu ikitokea kama si maisha ni miaka 30 lupango.
Eeehh, and then??
 
Tanzania Tea Blenders
 
Huyu mama wa binti mmoja tu, mchacharikaji anaemiliki guest house kama 20 katika miji tofauti. Yeye hakuwahi kuolewa na sexual life yake ni ya siri sana. Kumbe hupenda kuvinjari na vijana akiwa anatembelea guest zake.

Binti yake aliyemsomesha mwenyewe baada ya kumaliza shule na kupata kazi, akiwa anaishi nyumba moja na mama yake. Binti ametokea kumpenda kijana ambae mama pia ameamua kutuliza moyo kwa kijana yule. Mama akiahidi kumtunza kijana kwa gharama zozote zile.

Kijana alikuwa na wakati mgumu. Pesa ya mama anaipenda na penzi la binti analitaka. Aliamua kuwaridhisha wote kwa wakati mmoja.
Hii ni....
JamiiForums623594587.jpg
 
Ndugu abiria kutokana na hali ya hewa ilivo tutakuwa na kituo kimoja cha kupumzika hivo abiria wote tunaomba tuwe sharp ,tutatumia dk 5 baaday ya hapo mpaka stand kuu...

Leo mko nami kondakta wenu sky , kwenye usukani yupo liii....safar njema
 
Huyu mama wa binti mmoja tu, mchacharikaji anaemiliki guest house kama 20 katika miji tofauti. Yeye hakuwahi kuolewa na sexual life yake ni ya siri sana. Kumbe hupenda kuvinjari na vijana akiwa anatembelea guest zake.

Binti yake aliyemsomesha mwenyewe baada ya kumaliza shule na kupata kazi, akiwa anaishi nyumba moja na mama yake. Binti ametokea kumpenda
Ila tu usiwe wewe ndio Mama ya Binti.
😅 😅 😅
 
Back
Top Bottom