Binti afufuka Mwanza

Wachawi bwana,sasa kama wanauwezo wa kulimisha watu kimtindo huo kwanini wasiombe milki ya mashamba makubwa wawalimishe hao mafisadi ili hii nchi njaa ibaki historia tuu?

Watu kama mzee wa vichenji na wenzake wawe wazalishaji mashambani duu!
 
Back
Top Bottom