Hii wanaita msukule!!!Nishawahi kusikia pia hawa watu wana uwezo wa kuruka na ungo mpaka ulaya au marekani au popote pale duniani.Sasa kwanini wasiiweke wazi hii science ili wale vichwa?HIi express service ingeharibu biashara yote ya ndege!!!
uchawi siyo kwa ajili ya maendeleo ni uharibifu tu.
Hata mimi kuna mama namjua amefariki tangu 1999 amerudi wiki iliyopita mzee sana yupo huko Magu na akili zake siyo nzuri halafu haongei.. lakini hawa watu wakirudi huwa hawakai zaidi ya miezi mitatu atakufa tu.
Ni confidential mkuu! Ikijulikana kuwa umetoa siri kwa namna yeyote ile hamna rangi hutaacha ona mkuu!
But kwa hii issue ya huyo dadaa dah! Mungu ndo anajua sipati picha pale itakapo julikana mhusika ni nani maana watampigaje?
🙄 🙄 🙄 🙄 🙄 🙄
Hivi haya madhehebu ya kidini hayana uwezo wa kugundua kuwa wanazika kisiki mpaka wanendesha ibada????!!!!
Kuna umuhimu wa kuchunguza kwa makini haya madhehebu
Nashauri kabla ya kuendesha ibada za mazishi, ziangushwe sara maalumu kwa ajili ya kudhibitisha kama anayezikwa amekufa kweli au kachukuliwa msukule.
Asilimia kubwa ya watu wengi wanokufa wkiwa vijana vifo vyao siyo halisi ndo Maana Kanisa la Ufufuo na uzima UBUNGO hawaziki mpaka waakikishe kamA mtu kafa KIFO HALISI.
Mimi nashangaa wchangiaji wengi wanaona kama ni kitu kipya Ukija Ufufuo na uzima misukule waliorudishwa ni wengi sana tena wengine wanapata wachumba pale pale bila kujalisha kuwa makaburi yao yapo duniani japokuwa wanaishi. Biblia inasema fufueni wafu, pozeni wagonjwa takaseni wenye ukoma mmepewa bure toeni bure.Matayo 10:8
Dr. Mbura,
Hapa unachangia mada ya mtoto kufufuka au unapigia chepuo kanisa lako la 'makanjanja'
Sisi wakatoliki hatuamni uchawi hata kidogo - hayo mambo yanayofanyika ni mazingaombwe ambayo yametapakaa pote.
'Exorcism' can be be applied by special permission from the boss of Vatican himself!
Kwanini mnakimbilia uchawi mbona hata MaxShimbe anaweza kufufulisha mtoto kama huyo. Au hamjui MaxShimbe.Inasikitisha jinsi jambo hili linavyochukuliwa ki-simple na hao madaktari
Ivi hakuna Special Division ya ku-investigate haya mambo Tanzania? Yani Bongo ni tunaishi kwa kubahatisha bahatisha tu! Inaboa! Investigate and come to a reasonable conclusion. Sio kuacha wananchi na midomo wazi na familia bila kupata jibu. AIBU kwa nchi kukalia haya mambo kimya. Tena kama cases kama hizi zimeshakuwa tatu. Au kupotea kwa wananchi sio tatizo bongo? Kila mtu bongo anaangalia siasa tu.
upuuzi mtupu!hii ni sayansi ya kiafrika mwana wane teh teh..tuko juu
Kwa kisukuma inaitwa Mitunga. Hutokea sana na wengine hupelekwa Gamboshi kwa ajili ya kulima mji ambao mchana ni kijiji na usiku ni city babu kubwa umeme na magari ya kifahali lakini mchana ni nyumba za majani.