Bingwa wa updates,Nokia yuko live Berlin Germany.

Bingwa wa updates,Nokia yuko live Berlin Germany.

Kibumbula

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2018
Posts
3,690
Reaction score
3,382
Muda sio mrefu,bingwa wa Android version updates na security patch level updates duniani, Nokia,anaachia simu zake mpya,kama Nokia 5.2,6.2,7.2,nokia 2720 flik, Nokia 800 na zingine ambazo bado hazijulikani.

Karibuni Berlin Germany, kushuhudia uzinduzi.Sisi wafia Nokia, tayari tushajiandaa kwa kushuhudia uzinduzi live kwenye YouTube na Twitter.

Karibuni nyote.
IMG_20190905_112318.jpeg
IMG_20190905_152842.jpeg
IMG_20190905_152424.jpeg
IMG_20190902_060427.jpeg
 
Hakika mkuu.Ameshika nafasi ya kwanza kwa updates kwa simu za Android siku si nyingi.Huyo ni balaaa.Ukiondoa simu za 2017 kama Nokia 5,6,na 8 zingine zote zitakula Android Q na R.Nokia balaaa.
nokia yupo vizuri sana hadi nokia 2.1 anapokea android 10,,
long live Nokia......
 
Camera yake ina mega pixel ngapi? Au ndo uzinduzi bado?
 
Bado mkuu,ila kamera inasemekana ni babu kubwa.Simu zake za kubofya nazo ni full raha,kuna mpaka yenye HD audio.
Camera yake ina mega pixel ngapi? Au ndo uzinduzi bado?
 
Simu ni maongezi bora ya ufanisi pamoja na chaji kukaa muda mrefu kuwezesha hayo maongezi...., mengine yote ni mbwembwe
 
Simu ni maongezi bora ya ufanisi pamoja na chaji kukaa muda mrefu kuwezesha hayo maongezi...., mengine yote ni mbwembwe
watumiaji weng wa simu wanatumia tu 33% ya matumizi ya simu!!
 
Back
Top Bottom