Kama hamjawahi ona mtu ana defy law of gravity hapo utaona, jamaa anaweza kuahirisha hapo na kupaa juu... mi mwenyewe nishawahi fanya hivyo

wewe umekamilisha sentensi na mimi naghairi kuchangia maana mekamilisha mjadala.hapo lazima papa ataghairi maana hiyo harufu ya kinyesi itamchefua
kwani maneno hayo yanatofauti...?