Bingwa wa Kucheza na Macho Yake Atakavyo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bingwa wa Kucheza na Macho Yake Atakavyo

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Ndallo, May 16, 2011.

 1. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #1
  May 16, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,131
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
  Huyu bwana anajulikana kwajina la Claudio Paulo Pinto anauwezo wa kucheza na macho yake atakavyo anauwezo wa kuyatoa macho yake kwa 7 millimeters (0.3 inches) na alianza kufanya hivi tokea akiwa mdogo wa umri wa miaka 8 hata Guinnes World Book of Records wanamtambua.
   
 2. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #2
  May 16, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,543
  Likes Received: 2,252
  Trophy Points: 280
  Photoshop at work!!
   
 3. MADAM T

  MADAM T JF-Expert Member

  #3
  May 19, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 3,660
  Likes Received: 940
  Trophy Points: 280
  Saamahani Kakak, ninawasiwasi kuna siku utaletewa picha mkeo anameg... napo utasema photoshop
   
Loading...