Candid Scope
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 11,890
- 6,899
Mataito ya waafrika utayaweza; eti Ngwazi Professor Bingu wa Mutharika hadi kwenye kaburi.
Mataito ya waafrika utayaweza; eti Ngwazi Professor Bingu wa Mutharika hadi kwenye kaburi.
Huyu jamaa bora ametangulia mapema. Angeiharibu ile nchi kabisa. Na haya mambo ya kujiandalia kaburi yanaanzia wapi? Alikuwa ni Chief naye?
Na yale amgunia 30 ya dola ameyaacha maskini
Nenda ukapate hukumu unayostaili under the fair judgement toka kwa mola.
Hakuna kuhonga uko!
Tatizo ni kuwa huwa hatupati feedback ya haya mambo uko tuendako
Mkuu mbona viongozi wenu wanaoharibu nchi hamuwaombei watangulie? Au labda malawi ndiyo una uchungu nayo zaidi wa kuaharibiwa kuliko nchi yako?Huyu jamaa bora ametangulia mapema. Angeiharibu ile nchi kabisa. Na haya mambo ya kujiandalia kaburi yanaanzia wapi? Alikuwa ni Chief naye?
Na haya ndo maneno yake kutoka kwenye bible
2 Timothy 4: "[SUP]7[/SUP] I have fought the good fight, I have finished the race, I have kept the faith. [SUP]8[/SUP] Now there is in store for me the crown of righteousness, which the Lord, the righteous Judge, will award to me on that day-and not only to me, but also to all who have longed for his appearing. "
HUU NI UMANGUNGU WA KIAFRIKA...ATI NAYE NI NGWAZI!...KAZIKWA NA PADRI MZUNGU
Grand ... The mausoleum where Mutharika was buried on Monday
White House ... Mutharika's home on his Ndata Farm in the tea-growing district of Thyolo
Hiyo limasheni laonekana jipya kabisa limehitimishwa kwa kufukiwa jeneza lake kabla hajaonja raya ya kustarehe ndani yake, pesa hiyo aliyotumia kujenga hapo angejenga chuo au barabara angehesabika shujaa kwa vizazi.