Bing Bang Theory is real. Ask me anything about it here…

Ahsante sana Mkuu umenitoa tongotongo
 
Nilipiga Bachelor of Arts (BA) in Economics chuo pendwa mkuu.
Mkuu kama ni chuo pendwa utakuwa ulikutana na akina karamagi, natu mwamba, krama, na wengneo kuna masudi AC 101 PAMOJA NA SULUO.. akina kamata kule ds
rais wako alikuwa kipara, pm makuri
na kama ulikuwa huko bila shaka unapajua sana block g...kwa mama mwarabu madonati...hata lile kunji la ...au basi hadi kawambwa akaja..

Enzi hzo nkrumah ni darasa la st, ds na cl

Naomba kutabiri: INAWEZEKANA ECONOMETRICS HAIKUWA nzuri SANA IJAPO HATA QM SIYO.
 
Hiyo Geography Advance nilipiga A, ila kwenye maisha sasa hakuna mahali naitumia dah [emoji3]

Hongera sana, nilipiga B ya Jogi, nikapiga C ya number, nikapiga Banda la Uchumi.
Kuhusu ya maisha: Maisha yanategemea vitu vingi, maisha sio elimu peke yake, kuna bidii, maarifa sahihi, bahati na kipaji. Wewe jiulize Calculus tunazitumia wapi?
Watu kibao waliosoma hesabu mpaka advance, wengi wameishia kuwa waalimu wa hesabu.
Maisha halisi yanaanza baada ya chuo mkuu. 😁
 
Baada ya kutumia calculus kwenye qm na econometrics kutafuta course work, in real life hayapo kokote labda kwa wahandisi huko
 

Mkuu KUNJI Gen Z pale hawawezi kuzijua, umenikumbusha mbali sana, Econometrics mimi nilidakwa, ilibidi nirudi September Conference. Na penyewe kwa mbinde sana nikachomoa. 😁
 
Baada ya kutumia calculus kwenye qm na econometrics kutafuta course work, in real life hayapo kokote labda kwa wahandisi huko

Ajabu QM ni module inayochukua credit kibao kuliko hata Financial Mgt I & II. QM unakuta ina 12, FAM ina 8 au 9. Na hakuna applicability popote pale. 😁
Yaani "Differentiation & integration" inakuwa ni module muhimu kuliko "Project Planning & mgt" . 😁
 
Mkuu KUNJI Gen Z pale hawawezi kuzijua, umenikumbusha mbali sana, Econometrics mimi nilidakwa, ilibidi nirudi September Conference. Na penyewe kwa mbinde sana nikachomoa.
Econometrics ni nyoko yaani haieleweki inataka nini na haitaki nini...
Humo nilipenya kwa mbinde..kuna mshenzi principles of accounting 1 sitamsahau yule dr masoud mzanzibar alikuwa akifundisha jasho linamtoka kama amekula nungunungu!

Gz hawajui kuna kitu kinaitwa rev sqr, eti siku hz wamepanda maua pale
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…