Bing Bang Theory is real. Ask me anything about it here…

Bing Bang Theory is real. Ask me anything about it here…

It is a theory ambayo unaelezea mwanzo wa ulimwengu. Tulianza kama big giantic body baadae due to high temperature the body ika expand over time forming stars and other heavenly bodies.
Mfano ukilichukua Yai ukaliweka ndani ya maji yanayochemka zaidi maji yanavyochemka ndio Yai linavyozidi ku-expand [kutanuka] na mwisho Yai hupasuka paaa na kuachia mfereji wa Hormus
 
Yes. Ni physics hio bila ubishi.
Yeah maana geography ni more about mazingira. Though zina relationship close to each other.


Physics uzuri wake it make logical sense that geography, due to its ability to explain matter and energy well while geo inadiscuss formation without actual cause and what happened.
 
Hapana mkuu, baada ya kumaliza chuo 2012, nilirudi home kumpokea mshua gurudumu la biashara na uwekezaji. Sijawahi andika barua popote kuomba kazi, wala kufanya usaili popote. Nimejiajiri.
Hongera tena

Unamshauri nini mtu ambaye ndo anahitimu kozi uliyoisoma wewe

na yule mwenye mpango wa kuisoma kozi uliyoisoma wewe
 
Hongera tena

Unamshauri nini mtu ambaye ndo anahitimu kozi uliyoisoma wewe

na yule mwenye mpango wa kuisoma kozi uliyoisoma wewe

Faida za hii kozi; Kozi inatoa wigi mpana kwa mhitimu. Ana wigi mpana wa kuajiriwa, kujiajiri. Watu wengi wa darasa letu ni Maafisa Mipango kwenye maalmashauri, Wachumi, Bankers, finance planners and analysts, NGO sectors pia imewachukua wengi na sekta binafsi kwa ujumla wana soko huko. Kama mtu ataweza kupat mtaji na kujiajiri, anaweza kuwa mzuri sana kwenye eneo hilo hasa mipango, usimamizi na ubunifu.

Hasara ya kozi hii; Hii kozi pamoja na kukupa wigo mpana wa kuajirika lakini bado haimpi mhitimu ujuzi wa yeye kujiajiri moja kwa moja kwa ujuzi huo, tofauti na ilivyo Agronomy. Maana mtu wa Agronomy anasoma General Agriculture studies, anaweza kufanya ugani au farm mechanization vizuri. Ni kozi inamjengea mtu kuwa analyst, manager au planner mzuri, lakini inakosa ujuzi wa moja kwa moja ambao mtu anaweza kuutumia kukabiliana na mazingira yake.
 
Not all things zinataji tuwepo though vifaa kama James Webb Space Telescope vipo na vinaonesha picture. Still Cosmic light zipo huko angalia ni kuzidaka tu
There are numerous unexpected observations that conflict with the theory's predictions, requiring the addition of numerous "fix" parameters to keep it viable!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom