NullPointer
JF-Expert Member
- Feb 7, 2011
- 3,461
- 2,267
Naileta hii hoja, ntatoa ujuzi wangu nilionao juu ya hizi Binaural beats, kwa wenye ujuzi zaidi wanaweza kuchangia, criticizing pia inaruhusiwa, ni kwa ajili ya watu kujifunza na kuweza kufikia sehemu kupata muafaka.
Inasemekana ubongo hua katika state tofauti tofauti kulingana na kitu unachofanya, kuna siku mtu hua ana hamu sana ya kusoma na hata akisoma anajikuta anaelewa vizuri hata problem solving skills ghafla zinakua juu (hii ndio waswahili wanaita kaamkia upande wa kulia) lakini pia kuna siku mtu anakua down kabisa hata kiinachoufundishwa hakielewi, hapa pia ubongo unakua katika state tofauti, wataalam wanasema inategemea na frequency of vibration katika ubongo,
Binaural beats zinajulikana kama apparent sounds yaani ni sauti mbili tofauti ambazo zinavibrate katika frequency mbili tofauti ambazo zimeunganishwa pamoja, mfano sauti moja ni 310Hz na nyingine 300Hz, tofauti yao ni 10Hz, basi inasababisha ubongo kwa yule msikilizaji kuvibrate katika frequency hiyo ila under certain conditions.
Hizi binaural beats hutumika katika mambo mbalimbali yenye faida ikiwemo kusaidia watu kua na kumbukumbu nzuri na hata kujifunza pia, improve athletic perfomance, relaxation kwa watu ambao mawazo mengi au wanaofanya meditation, kuacha addiction flani mfano wavuta sigara, kwa wanaopenda lucid dreaming pia, kuna beats zake za kustimulate lucid dreaming, (Lucid dreaming - ndoto ambazo unaota huku ukijitambua na unaweza ukaimanipulate ile ndoto unavyotaka, wengi hua inawatokea na ni ndoto wanakua wanaikumbuka, ntatoa post nyingine kuingia deep zaidi kwenye lucid dreaming)
kupunguza pain, memories ambazo zimekuarepressed kuweza kuzivuta karibu, watu wenye anxiety na nyingine nyingi
Sasa utazitumiaje hizi beats ili kuachieve results hizo, kwanza LAZIMA uwe na ear/headphones ambazo ni stereo, na ziwe na quality nzuri, sitoshauri zile bass earphones ambazo wengi hutumia siku hizi, pili unahitaji uwe na binaural beat yenyewe ambapo nyingi zinapatikana online, ila inahitaji umakini maana wapo wanaotengeneza binaural beats ila si kitaalam ambapo inaweza isileta tena desired effect ikasababisha kichwa kuuma, i prefer itunes ila kwa asiyeweza anaweza tumia youtube na akapata quality nzuri tu...
Chati ifuatayo inaeleza kila beat na effect yake
Uzuri wa binaural beats ni kua wewe una relax alafu unaacha zenyewe zinafanya kazi yake, huna kazi ya ziada, ila note wakati unasikiliza binaural beats ni vema ukiwa labda nyumbani au sehemu umerelax, ni vizuri ukiwa umefumba macho kama meditation au waweza kua umefumbua macho lakini unaconcentrate kwenye kitu kimoja tu mfano kijiko kilichopo mezani, unatulia then ndani ya muda flani mara nyingi hua dakika kuanzia 5-15 mtu anaanza kuexperience effect hiyo.
Nakaribisha wenye ujuzi zaidi, mchango, criticizing pa kurekebisha, etc...
Ni mada ndefu nimejaribu kila ninavyoweza kuifupisha, ntatoa updates zaidi kwa atakayekua interested,
Inasemekana ubongo hua katika state tofauti tofauti kulingana na kitu unachofanya, kuna siku mtu hua ana hamu sana ya kusoma na hata akisoma anajikuta anaelewa vizuri hata problem solving skills ghafla zinakua juu (hii ndio waswahili wanaita kaamkia upande wa kulia) lakini pia kuna siku mtu anakua down kabisa hata kiinachoufundishwa hakielewi, hapa pia ubongo unakua katika state tofauti, wataalam wanasema inategemea na frequency of vibration katika ubongo,
Binaural beats zinajulikana kama apparent sounds yaani ni sauti mbili tofauti ambazo zinavibrate katika frequency mbili tofauti ambazo zimeunganishwa pamoja, mfano sauti moja ni 310Hz na nyingine 300Hz, tofauti yao ni 10Hz, basi inasababisha ubongo kwa yule msikilizaji kuvibrate katika frequency hiyo ila under certain conditions.
Hizi binaural beats hutumika katika mambo mbalimbali yenye faida ikiwemo kusaidia watu kua na kumbukumbu nzuri na hata kujifunza pia, improve athletic perfomance, relaxation kwa watu ambao mawazo mengi au wanaofanya meditation, kuacha addiction flani mfano wavuta sigara, kwa wanaopenda lucid dreaming pia, kuna beats zake za kustimulate lucid dreaming, (Lucid dreaming - ndoto ambazo unaota huku ukijitambua na unaweza ukaimanipulate ile ndoto unavyotaka, wengi hua inawatokea na ni ndoto wanakua wanaikumbuka, ntatoa post nyingine kuingia deep zaidi kwenye lucid dreaming)
kupunguza pain, memories ambazo zimekuarepressed kuweza kuzivuta karibu, watu wenye anxiety na nyingine nyingi
Sasa utazitumiaje hizi beats ili kuachieve results hizo, kwanza LAZIMA uwe na ear/headphones ambazo ni stereo, na ziwe na quality nzuri, sitoshauri zile bass earphones ambazo wengi hutumia siku hizi, pili unahitaji uwe na binaural beat yenyewe ambapo nyingi zinapatikana online, ila inahitaji umakini maana wapo wanaotengeneza binaural beats ila si kitaalam ambapo inaweza isileta tena desired effect ikasababisha kichwa kuuma, i prefer itunes ila kwa asiyeweza anaweza tumia youtube na akapata quality nzuri tu...
Chati ifuatayo inaeleza kila beat na effect yake
Hz | Gamma waves | Higher mental activity, including perception, problem solving, fear, and consciousness |
1339 Hz | Beta waves | Active, busy or anxious thinking and active concentration, arousal, cognition, and or paranoia |
713 Hz | Alpha waves | Relaxation (while awake), pre-sleep and pre-wake drowsiness, REM sleep, Dreams |
812 Hz | Mu waves | Mu rhythm, Sensorimotor rhythm |
47 Hz | Theta waves | Deep meditation/relaxation, NREM sleep |
< 4 Hz | Delta waves | Deep dreamless sleep, loss of body awareness |