kopites
JF-Expert Member
- Jan 28, 2015
- 9,777
- 12,187
Naona unarudi kule kule , nilikuambia Hayo ya kukamatwa mwanamke na kupigwa bakora ni uongo kwani wanaotembea vichwa wazi wamejaa Irani .
Na huyo former ambassador hujajiuliza ilikuwaje Kawa former ? Asiwe existing ?
Huyo Grand niece una hakika au umeokota propaganda Za wayahudi tu mitandaoni. Unafikiri hamna Hao watoto wa wanyonge wanaosoma nje. Mbona hata huku kwetu wapi wengi tu. Mimi nilikwenda Ulaya kusoma wala sikuwa mtoto wa Karume ,Ni mtoto wa Hao wanyonge unaojifanya kuwatetea wakati Karume aliwasomesha watoto wake nje ya nchi toka primary.
View: https://youtu.be/-E6sXsF4j40?is=ypvxMTvCdd5RwQwN
Ulienda ulaya ya wapi wewe?😄😄😄😄🙆