Binamu wa Solemani adakwa USA

Binamu wa Solemani adakwa USA

D.Trump kaposti hii, ndani ya masaa 48 islamic republic itageuka majivu ...

Time is running out - 48 hours before all Hell will reign down on them.
Glory be to GOD! President
DONALD J. TRUMP
Ama kweli ww nj Kijakazi wa trump

Ushampikia chai?
 
Ayatollah gani alidharau? Ile si ilikua counter attack au kuna mahali walisema wanataka kumuua?? Walikua kwenye mazungumzo ghafla wakavamia so mtu yeyote lazima unakua off guard.

Trump is useless, yeye kama anataka apeleke askari wa miguu tuone mbivu na mbichi

akipeleka black amerikans je, iran dont kill black people ...
 
Ayatollah gani alidharau? Ile si ilikua counter attack au kuna mahali walisema wanataka kumuua?? Walikua kwenye mazungumzo ghafla wakavamia so mtu yeyote lazima unakua off guard.

Trump is useless, yeye kama anataka apeleke askari wa miguu tuone mbivu na mbichi
Mojtaba Ali khamenei eliminated
 
Magaidi wa IRGC sasa wachague kati ya kukaa na rubani waliyemteka au wamuachie huru.

View: https://www.instagram.com/p/DWtuFn-DnnS/?igsh=c3NoNmVhNmlmcjZt

Huyu rubani tutamngoa meno kwa pakari
Rubani gani huyo mliyemkamata?
Mnaiongelea hii picha kutoka kwenye movie ya behind the enemy lines?
IMG_2562.jpeg
 
Kwani kuwauwa wote hao kumesimamisha vimondo vinavyoshushwa tel aviv

watoto wa mullahs wa islamic republic hao wakila bata in the west, no hijab nothing, kule irani babab zao wanachapa viboko watoto wa wenngine kwa kuvaa jeans tu, sick people.

huyo hapo ndugu ya Qassem Soleimani ameshikwa na kuwa deported from USA ..

1775369117019.png

1775368934672.png

watoto wa irgc full kujiachia, sasa wamekuwa deported na USA
1775369183138.png
 
watoto wa mullahs wa islamic republic hao wakila bata in the west, no hijab nothing, kule irani babab zao wanachapa viboko watoto wa wenngine kwa kuvaa jeans tu, sick people.

huyo hapo ndugu ya Qassem Soleimani ameshikwa na kuwa deported from USA ..

View attachment 3567770

View attachment 3567769

watoto wa irgc full kujiachia, sasa wamekuwa deported na USA
View attachment 3567771
West kutamu sana.

Wangekuwa Iran wangekuwa wanaonekana macho tu hawa ila check pisi za ukweli kabisa, tracko na miguu ya bia kabisa hiyo.

Kumbe Iran kuna totoz kali kabisa
 
kila nchi ina ''totoz kali", lkn hiyo sio muhimu, huyo demu amependa kuwa model kaondoka kaenda USA ili aweze kutimiza ndoto yake ya umodel wakati baba zao huko kwao irani wanajifanya watu wa misismamo na kuwahubiria watoto wa wengine na kuwalzimisha waishi wanavyotaka wao, wanawanyima watoto wa wengine fursa ya kuishi ndoto zao, evil people ...
 
So what? Kuna 135 Ayatollahs in iran, it's not that hard to pick a new one every week for the next 3 years
Una uhakika wapo 135?au unafurahisha genge?
Waikabidhi US nchi wameshashindwa waliosalia waache kujitutumua
20260404_182759.jpg
 
Una uhakika wapo 135?au unafurahisha genge?
Ndio nina uhakika, Grand Ayatollahs (Maraji) wapo 50, huku Ayatollahs wako 85. Hapo sijaongelea walip cueo cha chini yao ambao ni mamia wanaweza kuwa promoted any time wakawa ayatollahs.
Waikabidhi US nchi wameshashindwa waliosalia waache kujitutumua
Wameshindwa nini? US ndio ameshindwa kuipora Iran. Ni ajabu sana mtu kushangilia ukoloni
 
Ndio nina uhakika, Grand Ayatollahs (Maraji) wapo 50, huku Ayatollahs wako 85. Hapo sijaongelea walip cueo cha chini yao ambao ni mamia wanaweza kuwa promoted any time wakawa ayatollahs.

Wameshindwa nini? US ndio ameshindwa kuipora Iran. Ni ajabu sana mtu kushangilia ukoloni
Wale sio ukoloni wale ni magaidi hakuna huruma kwa nchi inayo sponsor magaidi
Tofautisha ukoloni na ugaidi
 
Mkuu hivi ugaidi ni nini? Mfano Israel-USA iliwapa silaha na fedha al qaeda wa Syria yaani Al nusra front/HTS na wamefanikiwa kumpindua Al Assad je huko sio kufadhili ugaidi?

Mfano somalilanda inajitenga toka Somalia na Israel ina isupport je huo sio ugaidi kufadhili makundi yanayopinga serikali tena kwa mitutu?
 
IMG_20260405_130417.jpg
hawa Islamic regime wa Iran Ni sahihi watoto wao wanakula maisha US wanavaa wanavotaka alafu wa Iran wanawatesa kuvaa mabaibui eti Allah hapendi 😄

Wananyonga wa Iran kisa dini watoto wa maostaadh wa Iran wanakula maisha US

Arudishwe kwao huyo
Huu ndio ukoloni ambao hatuutaki
 
Back
Top Bottom