zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 24,230
- 39,783
Ndio maana nikasema hujui lolote, mwaka 1953 Mohammed Mosadegh alipinduliwa na USA na wakamuweka Shah mohammed Reza Pahlavi. Ambaye alikuwa Shah tayari ila aliongezewa mamlaka na kuwapa wazungu madili ya kuchimba mafuta.Wewe bwanamdogo marekani aliipindua Iran lini?
Kasome historia bwana mdogo