zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 24,232
- 39,789
Mwanzoni ulisema ni gaidi ghafla unajadili mavazi? Huyo amechagua hayo maisha na Iranians wengi tu wanaishi diaspora maana maisha ni kuchagua tu. 100 millions wameona ni sawa kubaki Iran sasa wewe unaumia nini?View attachment 3567893hawa Islamic regime wa Iran Ni sahihi watoto wao wanakula maisha US wanavaa wanavotaka alafu wa Iran wanawatesa kuvaa mabaibui eti Allah hapendi 😄
Wananyonga wa Iran kisa dini watoto wa maostaadh wa Iran wanakula maisha US
Arudishwe kwao huyo
Huu ndio ukoloni ambao hatuutaki