zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 24,584
- 40,703
Ndio maana nikasema hujui lolote, mwaka 1953 Mohammed Mosadegh alipinduliwa na USA na wakamuweka Shah mohammed Reza Pahlavi. Ambaye alikuwa Shah tayari ila aliongezewa mamlaka na kuwapa wazungu madili ya kuchimba mafuta.Wewe bwanamdogo marekani aliipindua Iran lini?
Jibu swali, mtoto wa kiongozi gani wa Iran yupo USA?Mnawachochea hao wapuuzi wanaharibu nchi zao kwa sheria za kishenzi wanapeleka watoto wao na ndugu US
Mbona unataja wa past, wa sasa hivi ni yupi?Al ralijan,soleiman n.k
Wewe ndio maana umejiita zito
Umekaa kizito zito kweli 😀,ndumilakuwili
Punguza unafiki kama maandamano ndio sababu, hata ICE kule US imeteka watu 70,000 na imeua zaidi ya 14 tokea January 2026. Ila sababu ni US hamuwezi sema kitu ila ingekua Iran mngesema ni sharia za kiislam!!View attachment 3568147kuna wewe huku Bongo unajifanya kujua haki za Wa Iran kuliko wa Iran wenyewe 😀
Una umri gani? Serikali ya Shah Reza ilikua ya kidemokrasia? Upo serious kweli?Hao Irgc ndio walipindua serikali ya kidemokrasia mwaka 1979 wakaingiza sharia law kupitia hao maimamu akina Khomeini
Kwa nini wanaenda tafuta elimu kwa makafiri ambao mnawaita maibilisi?
Wewe kwa akili yako huoni ni kama mnachezewa mchezo wa kombolela?
Mkatae mkubali maibilisi wa Marekani wamekamilika ndio maana mnapeleka watoto wenu kupata elimu huko
Mnajifanya sitaki nataka
Mkubwa mkubwa tu hata mkaze vip mpaka mishipa iwatoke
Soleimani na ukamanda wake watoto wake wapo US 😀😀 kwa makafiri
Wewe unakomaa huku mpk unataka kupasuka
Taarifa yako ni baada ya kuonyeshwa hiyo picha kwenye vyanzo vyenu. Tuambie wewe sasa ulikuwa unamuongelea Mwanajeshi gani ‘mliyemkamata’?Umeniona wapi mimi nikiongelea iyo picha ? Au ww ndo uloongelea iyo picha?
Ulikuwepo mpk ukatae ilikua sio ya kidemokrasia?Una umri gani? Serikali ya Shah Reza ilikua ya kidemokrasia? Upo serious kweli?
Hakuna sharia iliingizwa, kura ilipigwa ya referendum kumaliza ufalme wa Reza na wananchi wenyewe walipiga kura katiba mpya na 92% walisema NDIYO.
Tatizo ni kwa nini wawapeleke kwenye nchi wanayoiita ibilisi?Wewe sidhani hata ulifika form 4. Hivi hapa Tz hamna wanafunzi wanaokuja kusoma kutoka Europe na Marekani ? Kwa nini waje huku? Elimu ni kitu chengine na hilo chipwi lako ni jambo jengine. Waislamu wamehimizwa waitafute elimu hata China . Kwani wakati wa Mtume China kulikuwa Kuna waislamu?
Tatizo ni kwa nini wawapeleke kwenye nchi wanayoiita ibilisi?
wanaimba kila siku death to America,kumbe nyuma ya pazia wanawakimbiza watoto wao wakapate elimu bora US na maisha Bora yenye uhuru
Huku watoto wa masikini wa Iran wakiwatesa kwa sheria kali shenzi za kidini na kuwanyonga
Hawa akili zao hazina akili ndio maana wanaliwa vichwa kizembe kila kukicha 😀
Mbona unataja wa past, wa sasa hivi ni yupi?
Wewe sidhani hata ulifika form 4. Hivi hapa Tz hamna wanafunzi wanaokuja kusoma kutoka Europe na Marekani ? Kwa nini waje huku? Elimu ni kitu chengine na hilo chipwi lako ni jambo jengine. Waislamu wamehimizwa waitafute elimu hata China . Kwani wakati wa Mtume China kulikuwa Kuna waislamu?
Punguza unafiki kama maandamano ndio sababu, hata ICE kule US imeteka watu 70,000 na imeua zaidi ya 14 tokea January 2026. Ila sababu ni US hamuwezi sema kitu ila ingekua Iran mngesema ni sharia za kiislam!!
Nimekuwekea link kule juu umepita kama hujaiona
Mbona unataja wa past, wa sasa hivi ni yupi?
Tatizo ni kwa nini wawapeleke kwenye nchi wanayoiita ibilisi?
wanaimba kila siku death to America,kumbe nyuma ya pazia wanawakimbiza watoto wao wakapate elimu bora US na maisha Bora yenye uhuru
Huku watoto wa masikini wa Iran wakiwatesa kwa sheria kali shenzi za kidini na kuwanyonga
Hawa akili zao hazina akili ndio maana wanaliwa vichwa kizembe kila kukicha 😀
View attachment 3568223
Wanapenda vya kafiri Marekani?Wewe Nani wa kuwapangia watu wawapeleke watoto wao wanapotaka? Kwani dini imewakataza ?
Nimekuonyesha wengi wanasilimu kwa waislamu kwenda hizo nchi. Nimekuambia kuwa Mtume kahimiza kutafuta elimu hata China. Husomi umekazania ubishi.
Hayo maisha unayoyaita freedom ya wanawake Hao wamarekani wenyewe wanayakataa wanasema ni changa la macho.
Chuki zote kwa Iran zilianzia hapa
View: https://youtube.com/shorts/8UfZd3PckiI?is=KftkOzlBVuTuwd8F
Elimu ni ya Mungu . Si ya kafiri wala mtu wa dini yoyote.Wanapenda vya kafiri Marekani?
Kwa hio sasa tukubaliane kuwa Muirani akubali Ibilisi na kafiri Mmarekani kamzidi kila angle
Aliekuambia elimu ni ya Mungu ni nani?Elimu ni ya Mungu . Si ya kafiri wala mtu wa dini yoyote.
Kuzidiana kuko na ndiyo unaona hata Hao Wamarekani na ulaya Kuna wanafunzi wanaokuja kusoma huku Afrika au hujui. Halafu usifikiri hizo University zote ni Za serikali , nyengine ziko private na ziko nchi nchi nyingi.
Wewe Nani wa kuwapangia watu wawapeleke watoto wao wanapotaka? Kwani dini imewakataza ?
Nimekuonyesha wengi wanasilimu kwa waislamu kwenda hizo nchi. Nimekuambia kuwa Mtume kahimiza kutafuta elimu hata China. Husomi umekazania ubishi.
Hayo maisha unayoyaita freedom ya wanawake Hao wamarekani wenyewe wanayakataa wanasema ni changa la macho.
Chuki zote kwa Iran zilianzia hapa
View: https://youtube.com/shorts/8UfZd3PckiI?is=KftkOzlBVuTuwd8F