zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 24,572
- 40,673
Mwanzoni ulisema ni gaidi ghafla unajadili mavazi? Huyo amechagua hayo maisha na Iranians wengi tu wanaishi diaspora maana maisha ni kuchagua tu. 100 millions wameona ni sawa kubaki Iran sasa wewe unaumia nini?View attachment 3567893hawa Islamic regime wa Iran Ni sahihi watoto wao wanakula maisha US wanavaa wanavotaka alafu wa Iran wanawatesa kuvaa mabaibui eti Allah hapendi ๐
Wananyonga wa Iran kisa dini watoto wa maostaadh wa Iran wanakula maisha US
Arudishwe kwao huyo
Huu ndio ukoloni ambao hatuutaki
Wewe jamaa unachekesha?๐๐Mwanzoni ulisema ni gaidi ghafla unajadili mavazi? Huyo amechagua hayo maisha na Iranians wengi tu wanaishi diaspora maana maisha ni kuchagua tu. 100 millions wameona ni sawa kubaki Iran sasa wewe unaumia nini?
Mwanzoni ulisema ni gaidi ghafla unajadili mavazi? Huyo amechagua hayo maisha na Iranians wengi tu wanaishi diaspora maana maisha ni kuchagua tu. 100 millions wameona ni sawa kubaki Iran sasa wewe unaumia nini?
Mkuu hiyo katiba ilipigiwa kura na wananchi, ni lini hiyo katiba wamelazimishiwa watu? Iran ndio nchi pekee mashariki ya kati yenye wasomi wengi wanawake narudia tena ndio nchi pekee sio hata Israel inayowafikia kwahiyo women emancipation ni kubwa sana kuliko mavazi tu.Watoto wa iran kibao wanataka nao watimize ndoto zao za kuchagua maisha wanayopenda kuishi sio kulazimishwa kuvaa mahijabu na elimu ya dini tu
Si bora hawa wamehukumiwa mahakamani, vipi hao makumi ya raia wa marekani ambao sio tu hawajafikishwa mahakamani ila wameuwawa na ICE (askari wa immigration) kwenye stage za ukamataji. Huku wengine zaidi ya 70,000 wakitekwa na kuteswa!!!View attachment 3567959Hawa vichaa wa serikali ya mapinduzi ya kiislamu wananyonga watoto wa wa Iran wenzao wanyonge alafu watoto wao wamewapeleka Marekani kuishi Maisha ya Uhuru wanayoyataka na kuwasomesha marekani elimu bora
Alafu huku kuna watz wanatoa mpaka mishipa ya fahamu kulalamika wanaonewa,Raia wao wenyewe wamewakataa
Ndio maana mission zao zinafeli kila siku View attachment 3567959
Aisee Trump awasafishe hawa vichaa wote hakuna cha Ayatollah wala ayakuku
Mnaemuita Ibilisi marekani ndipo mnapopeleka watoto wenu kupata elimu na kuishi maisha ya ndoto zao mkiwa Iran mnajifanya mna misimamo mikali ya kidini na kulazimisha raia wanyonge kuvaa mahijabu na kusoma elimu ya dini ๐๐Wewe Itakuwa ni mtoto uliyetokana na wanawake Kama Hao ndio ukawa unapigia debe ubilisi
Una uhakika ilipigiwa kura na Wa Iran?au unaongea tuMkuu hiyo katiba ilipigiwa kura na wananchi, ni lini hiyo katiba wamelazimishiwa watu? Iran ndio nchi pekee mashariki ya kati yenye wasomi wengi wanawake narudia tena ndio nchi pekee sio hata Israel inayowafikia kwahiyo women emancipation ni kubwa sana kuliko mavazi tu.
Huko Saudia mbona ni sheria za mavazi ya kiislam, hata kutembea tu hadharani mtihani ila ndio swahiba wa USA. mbona hamuendi kuipindua? Turkey vipi sio nchi ya kiislam?
Punguzeni unafiki, kama issue ni mavazi basi pindueni zote sio mnachagua Iran na kuitafutia sababu
Mnaemuita Ibilisi marekani ndipo mnapopeleka watoto wenu kupata elimu na kuishi maisha ya ndoto zao mkiwa Iran mnajifanya mna misimamo mikali ya kidini na kulazimisha raia wanyonge kuvaa mahijabu na kusoma elimu ya dini ๐๐
Nyie ni wapumbavu kweli
Unakuta mtz upo Vichochoroni Tandale huko na bando lako la Jero unakomaa kutukana marekani kuwaita ibilisi mpk mishipa ya fahamu inakutoka
Ujinga utawatoka lini nyie vilaza
View attachment 3568086
Mnaemuita Ibilisi marekani ndipo mnapopeleka watoto wenu kupata elimu na kuishi maisha ya ndoto zao mkiwa Iran mnajifanya mna misimamo mikali ya kidini na kulazimisha raia wanyonge kuvaa mahijabu na kusoma elimu ya dini ๐๐
Nyie ni wapumbavu kweli
Unakuta mtz upo Vichochoroni Tandale huko na bando lako la Jero unakomaa kutukana marekani kuwaita ibilisi mpk mishipa ya fahamu inakutoka
Ujinga utawatoka lini nyie vilaza
View attachment 3568086
Kwani Si juzi tu timu ya wasichana ya mpira walikuwa Australia na vyombo vya habari vyote vya West vikapakazia eti waliomba ukimbizi na wamekubaliwa. Baada siku tatu tukasikia wote wako Istanbul transit wanaelekea Iran. Msikilize huyu dada anavyoongeaWewe jamaa unachekesha?๐๐
Watoto wa iran kibao wanataka nao watimize ndoto zao za kuchagua maisha wanayopenda kuishi sio kulazimishwa kuvaa mahijabu na elimu ya dini tu
Trump huwezi kumchukia cheki alivyokoment dk chache zilizopita.jamaa ananifurahisha sana ๐ ๐ค ๐ ๐ ๐View attachment 3567948
Una uhakika ilipigiwa kura na Wa Iran?au unaongea tu
Tangu lini serikali dhalimu zikawa na katiba iliyopigiwa kura?
Wananchi wa Iran walipiga kura usipovaa hijabu unyongwe?
Maandamano kila kukicha Iran alafu unadai ilipigiwa kura
Sheria kandamizi za kiislamu unazijua wewe?
Watoto wao wenyewe wa viongozi wa Iran wamekimbilia marekani kuishi huru,mpk wanarudishwa kwao kwa lazima sasa ๐
Kwa nini wanaenda tafuta elimu kwa makafiri ambao mnawaita maibilisi?Elimu ni kitu chengine na hayo unayoyasema ni mengine , Kwa taarifa yako katika Uislamu tunaambiwa utafute elimu hata China. Huko mbona hukuleta picha wako na vichupi Kama unavyofurahia ?
Punguza ujuaji bwana mdogo, unaonekana ni mtoto wa 2010 hujui chochote. Kura ya katiba ya 1979 ilipitishwa kwa 92% kwahiyo wao wenyewe wameipitisha, inakuuma nini?Una uhakika ilipigiwa kura na Wa Iran?au unaongea tu
Tangu lini serikali dhalimu zikawa na katiba iliyopigiwa kura?
Wananchi wa Iran walipiga kura usipovaa hijabu unyongwe?
Maandamano kila kukicha Iran alafu unadai ilipigiwa kura
Ndio kama zipi? Marekani mbona sheria za gun control zimepelekea kuwa na mauaji mengi kwa risasi kuliko nchi yoyote uarabuni ikiwemo Iran. Hapo sijaongelea US inaongoza kwa jail population yaani watu zaidi ya million 20 wapo jela huko marekani unadhani ni kwa sheria zipi?Sheria kandamizi za kiislamu unazijua wewe?
Mtoto wa kiongozi yupi kwa mfano? Unaweza toa mfano mmoja tu?Watoto wao wenyewe wa viongozi wa Iran wamekimbilia marekani kuishi huru,mpk wanarudishwa kwao kwa lazima sasa ๐
Wewe bwanamdogo marekani aliipindua Iran lini?Punguza ujuaji bwana mdogo, unaonekana ni mtoto wa 2010 hujui chochote. Kura ya katiba ya 1979 ilipitishwa kwa 92% kwahiyo wao wenyewe wameipitisha, inakuuma nini?
Iran ilishakuwa na demokrasia tokea miaka ya 1940s kabla serikali ya kidemokrasia haijapinduliwa na wamarekani!!
The Islamic Republic of Iranโs Power Centers | Council on Foreign Relations
Who calls the shots in Iran on economic policy, security, and domestic calls for reform? A look at the governmentโs organization chart indicates how complicated the answer is.www.cfr.org
Mtoto yupi wa solemani yupo USA?Soleimani na ukamanda wake watoto wake wapo US ๐๐ kwa makafiri
Al ralijan,soleiman n.kMtoto wa kiongozi yupi kwa mfano? Unaweza toa mfano mmoja tu?
Mnawachochea hao wapuuzi wanaharibu nchi zao kwa sheria za kishenzi wanapeleka watoto wao na ndugu USMtoto yupi wa solemani yupo USA?
Mtoto yupi wa solemani yupo USA?