Binamu Nyama ya Hamu..

Kwa maana kwamba angekuwa sio binamu ungempa ama?
 
Haa kuna binamu yangu mmoja kipindi hiko 2010 tulikutana nae dar kwenye harusi ya sista angu Sa alitokea kunipenda kweli.. Sa pilika pilika za harusi mishughuli kibao vijana tukawa tunaagizwa mara nenda kule kalete hiki nara kanunue kile Sa kila akitumwa ananiambia nimsindikize kila sehemu tunaenda tukifika mbele mbele ya usindikizo ananichombeza mi nazingua naona aibu ya ule utoto utoto si akanivuta nakunikumbatia akashika nyonyo niliruka hatare nikasema tu wee kaka Gody niiniii akaniacha..aliona soo
 
Hivi huwa unawaza nini wewe kasinde? Nikikumbuka catch me if u can na nyingine nyingi nahisi kuna kitu huwa unatafuta
 
Kasie.

Sababu ulizozitoa hazina mashiko hata kidogo kwa sababu udogo ni kivumishi tu.

Mapenzi hayaangalii ubinamu wala nini cha msingi anaweza mambo na atakupeleka unapopataka.

Muelewa huyo binamu yako mamii kasie.
 
Hivi huwa unawaza nini wewe kasinde? Nikikumbuka catch me if u can na nyingine nyingi nahisi kuna kitu huwa unatafuta
Siwazi kitu hii ninayosemaga ni kuwa imenitokea kweli na hapo nimeelezea kilichotokea....

Sitafuti kitu chochote huwa naelezea yaliyonisibu, na haya nnayoelezea sio yote kuna mengine siyasemi.
 
Kasie.

Sababu ulizozitoa hazina mashiko hata kidogo kwa sababu udogo ni kivumishi tu.

Mapenzi hayaangalii ubinamu wala nini cha msingi anaweza mambo na atakupeleka unapopataka.

Muelewa huyo binamu yako mamii kasie.

Kwako hazina mashiko ila kwangu hizo sababu zinc mashiko sana..... kwangu umri ni jambo muhimu sana.
 
Wewe unafkiri hilo zari la kufuatwa lingemtokea kidume, unajua nini kingetokea????
Ndo maana wanasemaga wanaume wanatoka sayari ya Mars na wanawake sayari ya Venus......
Matokeo lazima yapishane. ...
 
Daaah, huyo binamu kala hasara ya nauli na gharama nyingine... Kumpunguzia machungu mlipie nauli ya kurudi basi... Si nanihii umeshamnyima? Au kama vipi mtengee akojolee hapo kwenye madhiwaaa amalize nyege zake...
 
Waalaah hapati chochote ntafanya kitu kingine ila si kulala na binamu yangu wa kiume.... naah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…