Binamu, binamu ananikwanza nifanyeje mwenzenu

Binamu, binamu ananikwanza nifanyeje mwenzenu

habari ya hapa

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2012
Posts
12,788
Reaction score
8,755
Nina binadamu yangu, mtoto wa shangazi yangu kabisa mama yake wa kwanza kuzaliwa akafuata baba yangu, kiukweli ananikwanza huyu binadamu sijui nifanyeje, mwaka 2011 alianza kutaka kunioa akaenda hadi kwa mjomba wake ambaye ni baba yangu, nikamwambia haiwezekani japo kikwetu kwetu kuoona binadamu c mbaya lkn kwa upande wangu siko tayari kuolewa na binamu.

Baada muda kupita alitafuta mwamke na kuanza kuishi nae, lkn July 8 mwaka huu akamuacha yule mkewe na kurudi tena kwangu tena karudi kwa speed kali sana, ananisumbua mara kwa mara anakuja usiku kunigongea huku nikiwa nimelala usiku wa manane, sina raha nimfanyeje huyu binadamu kwani me nina mambo zangu, siihitaji kuwa nae yaani simuhitaji, nimezungumza nae sana naona hanielewi. Nifanyeje sasa!!.
 
Binamu nyama ya hamu (wanasema waswahili)......
 
mpendwa pole sana hilo ni kero la udugu, Just mRipoti kwa wana familiya start kwa Wazee !! mzizi wa fitina utatoweka.
Otherwise heshima yako itagaragazwa !! Be Strong and face the game.
Good luck n kila la kheri.
 
Asante mkuu itabidi nitafute munda niende kijijini kwa shangazi ambaye ndo mama yake
 
Fanya kama ambavyo uliwafanyia wanaume wote ulokuwa huwahitaji...

watu8 sjawahi kumfanyia mwanaume yeyote kituko ambeye nilikuwa nae kimahusiano
huyo shangazi niliye nae ni mmoja na ndio huyo mama yake itabidi nimfuate nikamwambie kwani ananiboa sana mwanae
 
watu8 sjawahi kumfanyia mwanaume yeyote kituko ambeye nilikuwa nae kimahusiano
huyo shangazi niliye nae ni mmoja na ndio huyo mama yake itabidi nimfuate nikamwambie kwani ananiboa sana mwanae

Sijamaanisha kituko mpendwa...bali maana yangu ni umkatae kama ulivyowakataa wengine ambao hututokea kuwapenda....(use the same guts)
 
watu8 sjawahi kumfanyia mwanaume yeyote kituko ambeye nilikuwa nae kimahusiano
huyo shangazi niliye nae ni mmoja na ndio huyo mama yake itabidi nimfuate nikamwambie kwani ananiboa sana mwanae

Wote uliowakataa ulienda kwa mama zao!!!!!!

Wewe ni kiboko aiseee
 
Asante mkuu itabidi nitafute munda niende kijijini kwa shangazi ambaye ndo mama yake
Mpendwa Wee Samahani kusema "FIMBO YA MBALI HAIUWI NYOKA" huo muda hautoupata kwa urahisi, naye huyo bin3amu ni mfano wa nyoka atachukua ADVANTAGE (mjanja na atakulalia kwa mengi utakuwa mtumwa wake) kwani wee bado wasota sota na utafute likizo,nk.Je, hapo hapo mtaani kwenu hakuna majirani na wazee "kakamaa ukomae ujiamulie"
mwenzio keshaondoa heshima na hayaa na aiybu kesha itokomeza ili akuache mhanga!!
take care your lifu is for YOU.
 
Huyo ni ndg yako sasa mpaka anakuganda
km wanawake wameisha.
Usimpe ni km kujidhalilisha ninyi ni ndg

Yaani hata soni kidogo hana anataka mpango
wa ndgye . Hebu ongea nae kuwa utalifikisha
kwa familia km hataki kukuekewa.
 
Baada muda kupita alitafuta mwamke na kuanza kuishi nae, lkn July 8 mwaka huu akamuacha yule mkewe na kurudi tena kwangu tena karudi kwa speed kali sana, ananisumbua mara kwa mara anakuja usiku kunigongea huku nikiwa nimelala usiku wa manane, sina raha nimfanyeje huyu binadamu kwani me nina mambo zangu, siihitaji kuwa nae yaani simuhitaji, nimezungumza nae sana naona hanielewi. Nifanyeje sasa!!.
Nizungumzie hapa....huyu mtu ana lake jambo kwani kama kamuacha aliyemuoa wewe una lipi usiachwe???? Kuja kukugongea usiku ni ujasiri wa kuweza kukubaka au kukudhalilisha na mwanamme mstaarabu na mwenye hekima na busara na mwenye kumheshimu mwanamke hizi sio mbinu za kumpata mwanamke.....Ushauri...Inabidi ughangamale kama msichana na uweke ubinamu pembeni na umwambie "sihitaji kuwa na wewe kwani sikupendi na kama ukilazimisha ndani ya siku 2 nitaenda kukuripoti police ili upewe tahadhari ya kutonifuata"....wakati huu uonyeshe sura ya kukerwa na tabia zake na kama hatatekeleza nenda kamripoti police kwani amini huyu anaonekana mwenye uwezo wa kukutenda baya muda na saa yeyote.
Nikupongeze kwa kutetea haki yako ya mapenzi kwani ni wanawake wengi wameshindwa kufanya hivyo na kujikuta wanadhulumiwa na wazazi au ndugu. Kama litakushinda uko huru kuniPM nikupe mbinu zaidi hata kama muda mrefu utakuwa umepita kuanzia sasa. Mwisho kuna madhara pia ya Kibayolojia kwa watu wenye homoni zinazofanana kama wewe na binamu yako kushiriki mapenzi na hata kuzaa hivyo usikubali hili jambo pia kwa afya sahihi ya uzao wako. Mungu akutangulie hadi ushinde hiki kishawishi.
 
kamuacha mkewe kisa wewe!!!!!!!

what do you think is soo special about you to the extent that his wife means nothing
 
Anakusumbuaje sasa??????.....naona mabinamu na makaka mmeanza balaa lenu siku mbili hizi!!!!!
 
nina binadamu yangu, mtoto wa shangazi yangu kabisa mama yake wa kwanza kuzaliwa akafuata baba yangu, kiukweli ananikwanza huyu binadamu sijui nifanyeje, mwaka 2011 alianza kutaka kunioa akaenda hadi kwa mjomba wake ambaye ni baba yangu, nikamwambia haiwezekani japo kikwetu kwetu kuoona binadamu c mbaya lkn kwa upande wangu siko tayari kuolewa na binamu.

Baada muda kupita alitafuta mwamke na kuanza kuishi nae, lkn july 8 mwaka huu akamuacha yule mkewe na kurudi tena kwangu tena karudi kwa speed kali sana, ananisumbua mara kwa mara anakuja usiku kunigongea huku nikiwa nimelala usiku wa manane, sina raha nimfanyeje huyu binadamu kwani me nina mambo zangu, siihitaji kuwa nae yaani simuhitaji, nimezungumza nae sana naona hanielewi. Nifanyeje sasa!!.

ungemmind wala ucngetoa hii story... Mngemalizana kimyakimyaa mpaka mimba nndiii.... Binamuuuuuuuu....[/b]
 
nizungumzie hapa....huyu mtu ana lake jambo kwani kama kamuacha aliyemuoa wewe una lipi usiachwe???? Kuja kukugongea usiku ni ujasiri wa kuweza kukubaka au kukudhalilisha na mwanamme mstaarabu na mwenye hekima na busara na mwenye kumheshimu mwanamke hizi sio mbinu za kumpata mwanamke.....ushauri...inabidi ughangamale kama msichana na uweke ubinamu pembeni na umwambie "sihitaji kuwa na wewe kwani sikupendi na kama ukilazimisha ndani ya siku 2 nitaenda kukuripoti police ili upewe tahadhari ya kutonifuata"....wakati huu uonyeshe sura ya kukerwa na tabia zake na kama hatatekeleza nenda kamripoti police kwani amini huyu anaonekana mwenye uwezo wa kukutenda baya muda na saa yeyote.
Nikupongeze kwa kutetea haki yako ya mapenzi kwani ni wanawake wengi wameshindwa kufanya hivyo na kujikuta wanadhulumiwa na wazazi au ndugu. Kama litakushinda uko huru kunipm nikupe mbinu zaidi hata kama muda mrefu utakuwa umepita kuanzia sasa. Mwisho kuna madhara pia ya kibayolojia kwa watu wenye homoni zinazofanana kama wewe na binamu yako kushiriki mapenzi na hata kuzaa hivyo usikubali hili jambo pia kwa afya sahihi ya uzao wako. Mungu akutangulie hadi ushinde hiki kishawishi.

huyu hana lolote muongo tuu... Kwani binamu hawezi kumuoaa??? Sema tu hajampenda tu huyo binam yake.. Siku hizi watu wana zaa na watoto zao sembuse binamu loh
 
Back
Top Bottom