Binafsi sina namba ya NIDA

Wewe ni muongo mpuuzi sana. Passport ya zamani ilikuwa haihitaji NIDA sababu ilikuwa unapiga finger print tu but baada ya kuletwa system ya NIDA uhamiaji walibadili passport so hata sisi ambao tulikuwa nazo ambazo hazijaisha ililatulazimu kuzirudisha na kupewa mpya ambazo zimeunganishwa na system ya NIDA SO ACHA UONGO WA KITOTO.
 
Muongo baba ako! Tafuta exposure ache kujifanya unajua angali hujui!!
 
Nilipata passport kabla mambo ya NIDA hayajaanza mkuu!
Mara baada ya passport ya kielektronic kuanzishwa ni lazima uwe na nida .
Mimi mwenyewe nilipata passport yangu ya kwanza mwaka 2007, sikutumia nida ,
Nikaja kurenew passport hiyo mwaka 2017 sikutumia nida ingawaje nilikuwa tayari na nida.
Zilipobadilishwa kuwa za kieletronic nikatumia nida .
Kwanza ile fomu ya online ya kuombea passport inakipengele cha nida number usipoijaza hauwezi kuiprint.
Wewe hicho kipengele ulikibypass vipi.
Passport zangu nimeamua kukuonyesha yazamani hiyo ya kijani na mpya .
Wewe ni muongo passport mpya nida muhimu
 

Attachments

  • Screenshot_20250412_030713_Chrome.jpg
    124.7 KB · Views: 21
  • 20250412_031518.jpg
    1 MB · Views: 26
Nilipata passport kabla mambo ya NIDA hayajaanza mkuu!
Passport za zamani kabla ya nida zote hazitumiki kwa sasa .
Kwa hiyo useme kwa sasa hauna passport kwani kulikuwa na muda maalumu wa mpito kila mtu alitakiwa akabadilishe passport yake na kupatiwa ya kielektronic ambayo inaulazima wa nida
 
Line ya simu unayotumia ni ya nani? Kama NIDA huna
 
Acha uongo mkuu ili kupata hii passport ya kielectronic nida lazimanida
Wewe utakuwa unavunja sheria kupitia sheria ya Mawasiliano na Posta. Unatumia namba iliyosajiliwa na mtu mwingine. Unatakiwa kuwa Segerea kwa sasa kwa kutumia namba ya Simu ambayo imesajiliwa na mtu mwingine. Na nimakosa pia kumsajilia mtu namba ya Simu.

Huo sio ujanja. Kisa tu hutaki kupanga foleni.
Kuna baadhi ya siku, ofisi za Nida huwa hazina wateja wengi, kiasi cha kupelekea mtu kupata huduma ndani ya 20dk tu.

Mwaka 2013 niliwahi kumhudumia TZA Business Tycoon Bakhresa, akiwa kwenye foleni, na tulipojaribu kumpa kipaumbele ili aweze kuwahi, hakutaka. Alisubiria hadi awamu yake ikafika, akapata huduma na kuondoka zake.

Sasa iweje kwa mtu wa kawaida tu, usiyefahamika unashindwa kupanga foleni ili kupata huduma!?
 

Naona utakuwa umechanganya madesa , sikuelewi kwa nini umeniquote .
Mimi mwenyewe nampinga huyo jamaa anayesema anapasport ila hana nida.
 
Habari!

Fomu ya nida unajaza online, baadae ya hapo, utaenda uhamiaji, then nida kukusanya fomu yako, utachukulia alama za vidole na picha, ndani yawiki 1 Hadi 2, utatumies namba yako ya nida kupitia normal msg, then kitambulisho kikitoka, utajulishwaa pia kwa ujumbe mfupi, msg. Ni simple Sana mkuu, siku hizi wameboresha Sanaa

NB: sijajua Kama wanaweza kuunganisha biometric zako za passport na nida ili kuskip, vipimo vidole vya nida na ulazima wa kwenda uhamiaji...anzia online nida, majibu utapata mkuu

! !
 
Asante sana mkuu kwa kunipa mwangaza! Katika wote waliokomenti wewe ndo umenipa mwangaza! Ubarikiwe!
 
Inaexpire 2036
Tatizo lako ni uongo pasport ina expire kila baada ya miaka kumi sasa kama wew ya kwako ina expire 2036 thats mean unapswa kuivhukua 2026 .ki ufupi hujielew
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…