Binafsi sina namba ya NIDA

Kwa hiyo kumuita manara unataka ku-cover nafasi ya zayljsa
 
Basi labda bado unaishi kwa shemeji hauna mambo mengi. Kuna maeneo huwezi kutoboa bila NIDA
1. Ardhi
2. Kufungua account
3. Kununua bond
4. Kusajiliwa kwenye mifumo ya serikali
Hiyo ukuunganishiwa umeme tu bila nida utoboi
 
Basi labda bado unaishi kwa shemeji hauna mambo mengi. Kuna maeneo huwezi kutoboa bila NIDA
1. Ardhi
2. Kufungua account
3. Kununua bond
4. Kusajiliwa kwenye mifumo ya serikali
Nnavyo ivyo vyote isipokuwa ya tatu! Account ya bank nilifungulia nikiwa nje ya Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…