Umepataje passport bila NIDaWakuu mi binafsi sina namba ya NIDA lakin nina passport ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Na nimeshasafiri nchi zaidi ya 35. Asa wakuu wa jf mnaniweka kwenye kundi gani? Mnipe mchongo wa kupata namba ya NIDA online mana mi mambo ya kupanga foleni kusubiri masaa siwezi kabisa. Cc hajimanara
Kundi la watu wa mchongoWakuu mi binafsi sina namba ya NIDA lakin nina passport ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Na nimeshasafiri nchi zaidi ya 35. Asa wakuu wa jf mnaniweka kwenye kundi gani? Mnipe mchongo wa kupata namba ya NIDA online mana mi mambo ya kupanga foleni kusubiri masaa siwezi kabisa. Cc hajimanara
Wanataka pesa kiasi gani?Kama mambo ya kupanga foleni huwezi basi hutoweza kupata NIDA labda uwe na pesa
Inawezekana kama tu wewe ni under 18, inatumika Nida ya mzazi. So huyu ni dogo ukute ana miaka 14Passport umepataje bila nida
Yeye ndo anatoa vitambulisho vya NIDA?Muone haji manara
Mambo ya kupanga mstari kama tunahesabiwa namba shuleni yalinishinda!! Hayo mambo siyawezi kabisa.Unajikuta we superstar, sasa subiri itakufata hiyo nida...😅
achaMambo ya kupanga mstari kama tunahesabiwa namba shuleni yalinishinda!! Hayo mambo siyawezi kabisa.
Nipe link ya uzi mkuukuna jamaa kaleta uzi jana humu ndani anatoa huduma ya kutengeneza nida na makorokoro mengine mengi.
Nilipata passport kabla mambo ya NIDA hayajaanza mkuu!Acha uongo mkuu ili kupata hii passport ya dielectric nida lazima