Binafsi naunga mkono hili, wewe Je?

Binafsi naunga mkono hili, wewe Je?

Bana Balume

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2017
Posts
999
Reaction score
2,730
Nawasalimu nyote, Katika maisha ya mahusiano hasa ndoa mambo haya katika picha ni ya kuzingatiwa zaidi mimi ninakubaliana nayo, sijui nyinyi wanajamvi kwa upande wenu
IMG_16368247883309346.jpg
 
Iko sahihi kabisa ila imekosewa kidogo hapo kwenye Mipango inatakiwa mwanaume ndiyo amzidi mwanamke
 
Uzi haujasuswa,
ila swala la umri halina fomula maalumu katika mahusiano.
Bila shaka unaijua Ufaransa, rais wake ameoa mwanamke ambaye ni sawa tu na bibi yake!
Ni kweli ila mara nyingi hasa katika jamii zetu za kiafrika mwanamke akimzidi umri mwanaume hapo itaonekana mwanamke ana control kubwa zaidi katika mahusiano na mara nyingi mwanamke ndo atakuwa na kipato zaidi
 
Iko sahihi kabisa ila imekosewa kidogo hapo kwenye Mipango inatakiwa mwanaume ndiyo amzidi mwanamke
Mipango kwa maana mwanamke ndio engine ya familia hata mwanaume ukitoa pesa yako hata iwe kidogo mambo yatakwenda sawa katika nyumba
 
Aliyeandika hilo bango nahisi ni mwanamke,huwezi kusema mke awe na mipango then kichwani awe mweupe hawa ndo wale mume upo kikazi mkoani unamtumia pesa za kununua kiwanja ajenge nyumba ya familia yenu yeye ananunua kiwanja anajenga kwa hizo hizo pesa zako kisha ukiinua mabega juu anakutolea hati yenye jina lake anakutoa nje madai nyumba ni yake.

Obviously mwanaume ana akili hilo siyo la kuuliza ila upande wa pili kiungo kinachoitwa akili hawana so ni muhimu sana umpate mwenye nacho,vyote hivyo akiwa na akili atavifaya vinginevyo ni kilio.
 
Amesema mume amzidi mke akili lakini hajamaanisha mke awe mweupe kichwani pia mke akikuzidi pesa utakosa ile heshima ya kiuanaume sababu utaendeshwa na mke kwa sababu ya kipato chake.
 
Back
Top Bottom