kivyako
JF-Expert Member
- Feb 2, 2012
- 14,341
- 12,067
Iko clear, anajaribu kuonesha kuwa akili yako haiko active!
Kazi za watu kubali ukweli kama hutaki kafanye kazi zako binafsi. Binadamu wote tuna madhaifu ukikumbushwa hili muungwana unapaswa kujitathmini siyo kununanuna!!
Bunge letu lina hadhi gani wakati wamejaa vilaza mle ndani... kale ni kagenge tu ka kutafuna kodi (posho) zetu."ukali" iliwekwa kwenye semi. Rudi darasani. Yaani ulidhani unanipinga kumbe unaunga mkono hoja.
Nilichokisema umekirudia kwa maneno mengine. Kanuni na sheria. Ndicho anachosimamia Ndugai.
Kuna kitu kinaitwa hadhi na madaraka ya bunge. Kapitie.
NI Mambo yapi ambayo hawatashirikiana na PROF ASADI KAMA MTU TU NA SIYO KAMA CAG KAMA MWENZETU UMESEMA UMEMWELEWA SPIKA?Nina mtazamo tofauti kidogo kuhusiana na tabia ya "ukali" wa Spika wa Bunge la JMT, Ndg. Job Ndugai hasa katika Awamu hii ya 5.
Zama zimebadilika. Taasisi na mihimili imeanza kuonesha makali ya kusimamia maadili na principles tofauti na kubembelezana kama tulivyozoea.
Ukali wa Ndugai unaonekana wa ajabu kwa sababu sivyo tulivyozoea. Tulizoea kuchekeana kwenye mambo serious na hata yale madogo madogo ambayo mwishowe yalipelekea vyombo vya uongozi kudharaulika na kutoheshimika. Likiwemo Bunge letu tukufu.
Ndugai anarudisha heshima ya Bunge the hard way. Kuanzia nidhamu za wabunge mpaka wanaofanya nalo kazi na hata wananchi wanaoshindwa kulipa heshima yake.
Anachokifanya Ndugai kwa maslahi ya Bunge, kinafanywa na Rais Serikalini na Judges huko Mahakamani.
Mihimili hii mitatu inafuata falsafa moja kwa sasa. Nidhamu.
Jeshi la Polisi na JWTZ nao tumeona wameanza kufuata njia hiyo hiyo.
Namuelewa sana Job Ndugai. Nyakati zimebadilika. Tuache mazoea.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nina mtazamo tofauti kidogo kuhusiana na tabia ya "ukali" wa Spika wa Bunge la JMT, Ndg. Job Ndugai hasa katika Awamu hii ya 5.

Kamongo lazima amuelewe kamongo mwenziwe, na isitoshe wote mnatoka katika lile genge la makamongo CCM!Nina mtazamo tofauti kidogo kuhusiana na tabia ya "ukali" wa Spika wa Bunge la JMT, Ndg. Job Ndugai hasa katika Awamu hii ya 5.