Binafsi namuelewa Spika Job Ndugai

Binafsi namuelewa Spika Job Ndugai

Huna hata aibu. Man are you deaf?
Kuwa mkali ndio lakin tumia akili..
Ukiwa mkali kishambashamba utaonekana mshamba..
CAG si meber wa bunge means bunge halina power of CAG.
Mwambie speaker atambue mipaka yake kuwa ni within bunge.. he cant control beyond that.

Unataka kurudisha heshima ya bunge. Act as a leader.. not like a toddler.
 
well said ndugu..huu ndio ukweli wenyewe..lazima watu tubadilike twende na nyakati za sasa..tupo katika vita ya kiuchumi sasa kwa sababu tumeamua wenyewe kupaa kiuchumi..ni lazima sasa tupitie njia ngumu na sio kiulainilaini kama watu walivyozoea..kuelekea uchumi wa kati wa viwanda si mchezo , si lelemama..nakupongeza kwa uelewa huo
Man hiyo ni out of topic kabisa. Vita ya kiuchumi unahusianaje na CAG na bunge..?
Spealer lazima ajue mipaka yake..
Kama anakuwa mkali sawa.. hata CAG na yeye anakuwa mkali... kila mtu aheshimu kibarua cha mwenzake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuheshimiane kwanza ili tusikilizane na kushirikiana. Huwezi kunidharaulisha halafu ukatarajia tutahusiana vizuri.

Mambo mengi sikubaliani na Ndugai, lakini hili la kusimamia heshima ya Bunge namuunga mkono.

Tukosoane kistaarabu!

Sent using Jamii Forums mobile app

Hivi mkuu, ukiwa haujaoga akatokea mtu akakwambia wewe ni mchafu, hujaoga.

What do you do, unakimbizana na mtu huyo au unaenda kuoga?
 
Watu hawataki kubadilika. Lazima heshima na nidhamu iwepo. Uhuru wa kuongea haina maana kutusi na kudhalilisha au kusema lolote tu ilimradi.

Kuna wabunge wanatoa kauli za ajabu mpaka ikawa tunajiuliza hawa jamaa wanavuta bangi kwanza kabla ya kuingia kwenye session?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ashakum si matusi Kama mnadandia mabadiliko na kuyafanya ni lazima hakika tena lazima mfirwe maana ndio new world order!
 
Nina mtazamo tofauti kidogo kuhusiana na tabia ya "ukali" wa Spika wa Bunge la JMT, Ndg. Job Ndugai hasa katika Awamu hii ya 5.

Zama zimebadilika. Taasisi na mihimili imeanza kuonesha makali ya kusimamia maadili na principles tofauti na kubembelezana kama tulivyozoea.

Ukali wa Ndugai unaonekana wa ajabu kwa sababu sivyo tulivyozoea. Tulizoea kuchekeana kwenye mambo serious na hata yale madogo madogo ambayo mwishowe yalipelekea vyombo vya uongozi kudharaulika na kutoheshimika. Likiwemo Bunge letu tukufu.

Ndugai anarudisha heshima ya Bunge the hard way. Kuanzia nidhamu za wabunge mpaka wanaofanya nalo kazi na hata wananchi wanaoshindwa kulipa heshima yake.

Anachokifanya Ndugai kwa maslahi ya Bunge, kinafanywa na Rais Serikalini na Judges huko Mahakamani.

Mihimili hii mitatu inafuata falsafa moja kwa sasa. Nidhamu.

Jeshi la Polisi na JWTZ nao tumeona wameanza kufuata njia hiyo hiyo.

Namuelewa sana Job Ndugai. Nyakati zimebadilika. Tuache mazoea.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha sijawahi kusikia TOPIC ya ukali katika mafunzo ya uongozi, nafahamu kuna kufuata kanuni, na sharia za uongozi wa chombo chochote kile cha uma. Huu ujinga mnao ambukizana sijui mmeusoma wapi, au ndio wanfundisha huko chuo cha diplomasia?
Nani unamfanyia ukali, Tabia hizo ni disqualification za kiongozi sio qualifications za kiongozi. Kiongozi unapaswa usilete hulka zako za kipuuzi kazini, ziishie huko nyumbani kwako, ukifika kwenye public office ufuate kanuni zinazokuongoza, pia sharia zinazoongoza mahali pako pa kazi, achene ujinga ati eheee.
 
"ukali" iliwekwa kwenye semi. Rudi darasani. Yaani ulidhani unanipinga kumbe unaunga mkono hoja.

Nilichokisema umekirudia kwa maneno mengine. Kanuni na sheria. Ndicho anachosimamia Ndugai.

Kuna kitu kinaitwa hadhi na madaraka ya bunge. Kapitie.
 
Hahaha sasa hiyo semi ni kanuni au ndizo sharia za bunge letu?!
 
Nina mtazamo tofauti kidogo kuhusiana na tabia ya "ukali" wa Spika wa Bunge la JMT, Ndg. Job Ndugai hasa katika Awamu hii ya 5.

Zama zimebadilika. Taasisi na mihimili imeanza kuonesha makali ya kusimamia maadili na principles tofauti na kubembelezana kama tulivyozoea.

Ukali wa Ndugai unaonekana wa ajabu kwa sababu sivyo tulivyozoea. Tulizoea kuchekeana kwenye mambo serious na hata yale madogo madogo ambayo mwishowe yalipelekea vyombo vya uongozi kudharaulika na kutoheshimika. Likiwemo Bunge letu tukufu.

Ndugai anarudisha heshima ya Bunge the hard way. Kuanzia nidhamu za wabunge mpaka wanaofanya nalo kazi na hata wananchi wanaoshindwa kulipa heshima yake.

Anachokifanya Ndugai kwa maslahi ya Bunge, kinafanywa na Rais Serikalini na Judges huko Mahakamani.

Mihimili hii mitatu inafuata falsafa moja kwa sasa. Nidhamu.

Jeshi la Polisi na JWTZ nao tumeona wameanza kufuata njia hiyo hiyo.

Namuelewa sana Job Ndugai. Nyakati zimebadilika. Tuache mazoea.

Sent using Jamii Forums mobile app
Humdanganyi mtu yeyote humu mkuu wangu .
 
Jeshi la polisi na JWTZ nayo ni mihimili hata ifate hzo njia.... MODS TAKATAKA KAMA HIZI MUWE MNAZIFUTA KWAKWELI.. MTU ANA MAVUZI KIBAO KILA SEHEMU AFU ANALETA UPUPU HAPA..
 
Well said ndugu..huu ndio ukweli wenyewe..lazima watu tubadilike twende na nyakati za sasa..tupo katika vita ya kiuchumi sasa kwa sababu tumeamua wenyewe kupaa kiuchumi..ni lazima sasa tupitie njia ngumu na sio kiulainilaini kama watu walivyozoea..kuelekea uchumi wa kati wa viwanda si mchezo , si lelemama..nakupongeza kwa uelewa huo
Hyo vita ya uchumi unapigana na nani?ebu achen vijimaneno vya kufarijiana uongo,yaan kila anachosema magu mmekaririshwa wana lumumba na kuona ndo rejelea yenu
 
Nina mtazamo tofauti kidogo kuhusiana na tabia ya "ukali" wa Spika wa Bunge la JMT, Ndg. Job Ndugai hasa katika Awamu hii ya 5.

Zama zimebadilika. Taasisi na mihimili imeanza kuonesha makali ya kusimamia maadili na principles tofauti na kubembelezana kama tulivyozoea.

Ukali wa Ndugai unaonekana wa ajabu kwa sababu sivyo tulivyozoea. Tulizoea kuchekeana kwenye mambo serious na hata yale madogo madogo ambayo mwishowe yalipelekea vyombo vya uongozi kudharaulika na kutoheshimika. Likiwemo Bunge letu tukufu.

Ndugai anarudisha heshima ya Bunge the hard way. Kuanzia nidhamu za wabunge mpaka wanaofanya nalo kazi na hata wananchi wanaoshindwa kulipa heshima yake.

Anachokifanya Ndugai kwa maslahi ya Bunge, kinafanywa na Rais Serikalini na Judges huko Mahakamani.

Mihimili hii mitatu inafuata falsafa moja kwa sasa. Nidhamu.

Jeshi la Polisi na JWTZ nao tumeona wameanza kufuata njia hiyo hiyo.

Namuelewa sana Job Ndugai. Nyakati zimebadilika. Tuache mazoea.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukali upi wa kutetea mafisadi wanaoibia Serikali?
Hivi kama CAG naye angehongwa na majizi ili asiandike maovu yao kwenye ripoti yake kama yanavyohonga hao wenzako ili ripoti isijadiliwe na kufukua maovu na wizi wa Mali za umma nani angesimama na kusema kuwa kuna vita ya ufisadi?

Huoni kuna watu wanapita barabarani na kuandaa makongamano ya kugawa mapesa mpaka magari huku hospitali vijiji zikiwa hazina hata vitanda ?
Unafikiri CAG angekua ni mwana wa ibilis naye asingehongwa mahela ili aweke ripoti ya kufurahisha majizi kama wabunge wa CCM walioshindwa kuwa wakali dhidi ya wezi wa mali za umma kwa nusu karne.?
Badala ya bunge kuwa Kali kwa wezi wa Mali za umma linakua Kali kwa wanaojaribu kuonyesha uadilifu na ucha Mungu kwa vitendo.
Kuna viongozi hata huko kwenye imani zao wanapewa viti vya mbele na heshima wasiyostahili kwa unafiki wao.

Dunia ya wapenda uadilifu na uwazi haitamuelewa mtu muovu anayejaribu kupambana na mtu kwema.

Taifa linataka kuwafundisha nini watoto wetu ?
Yani Mtu aliyepata ubunge kwa kujaribu kumuua mwenzake kwa kumpiga gongo mpaka akapoteza fahamu ndio amekua mtu wa kusimamia muhimili wa kutunga sheria za kusimamia haki za watu?
Only in Tanzania!!

Tunawaomba wale wenye ile Clip ya Ndugai alipojaribu kumuua mgombea mwenzake kwa kumpiga na kitu kizito kichwani mpaka kupoteza fahamu wairushe ili hata Jumuia ya madola wajue kuwa vita inayoanzishwa sio ya kitaifa Bali ni hulka ya mtu binafsi asitependa kuona binadamu wenzake wakiishi kwa wema na uadilifu.

Watanzania tujenge taifa la watu wema.
Bado tuna safari ndefu.Wema umeonekana kama msamiati unaomaanisha kuwalamba miguu wale tuliowaajiri watuwakilishe tena kwa kuwalipa mamilioni lakini bado tuwaigope kuliko hata Mungu muumba wa vyote.

Sio binadamu wote wanaopenda tu mambo ya kupita ya dunia na kushindwa kusimamia haki.
CAG aliyepo anasimama katika haki na taaluma aliyojaliwa na Mwenyezi Mungu.
Aliteuliwa kulinda fedha za umma na amekataa kujinufaisha kwa njia haramu na unafiki. Amekataa kunufaisha Mafisadi ambao spika anaharibu kuwatetea kwa kusema kuwa eti wao ndio watakaowabaini wakosaji mana hakuna ubadhirifu.
Hivi anaweza kubaini wizi wa matrilion ya fedha kwa kutumia mipasho ya akina kibajaji na wenzake kama sio kutumiwa na majizi kuihujumu serikali iliyoamua kupambana na wabadhirifu kupitia CAG mwadilifu?
Huwezi kusema unamuunga mkono Mh. Rais wakati huo huo unapambana na wateule wake waadilifu na wataalam waliobobea?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuheshimiane kwanza ili tusikilizane na kushirikiana. Huwezi kunidharaulisha halafu ukatarajia tutahusiana vizuri.

Mambo mengi sikubaliani na Ndugai, lakini hili la kusimamia heshima ya Bunge namuunga mkono.

Tukosoane kistaarabu!

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi ukisema bunge ni dhaifu kwa mtu smart kama Husein Bashe ,Husein Mwinyi, Zito Kabwe, Hamisi Kigwangala , Msigwa , Heche, Atashtuka na kupaniki kuwa ameitwa dhaifu?
Wote wanaopaniki ni wale ambao bunduki na risasi za kupigia kura zikiwekwa pembeni na kuacha Karatasi na kalamu vitumike wakati wa kupiga ,hakika hawapati nafasi za kukanyaga bungeni.

Bunge linatiwa unajisi na wabunge wengi wanaotangazwa kushinda kura kwa dhulma.

Tume ya uchaguzi isimamie haki ili tupate wawakilishi wa wananchi wenye roho ya kuwatumikia wananchi sio kutafuta heshima binafsi na maslahi. Nchi hii ina mambo mengi ya kujadili lakini wabunge wametoa kipao mbele kutetea wezi wa pesa za umma na kumtisha CAG .
CCM ni lini wabunge wenu wataaminika kwa wananchi ?
Uovu huo ndio mnaouficha ili wananchi wasione bunge live kwani hamfai kabisa kuwawakilisha wananchi waliowachagua . Mnawakilisha maslahi yenu na wale wanaoiibia serikali ndio mnaowapigania.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Well said ndugu..huu ndio ukweli wenyewe..lazima watu tubadilike twende na nyakati za sasa..tupo katika vita ya kiuchumi sasa kwa sababu tumeamua wenyewe kupaa kiuchumi..ni lazima sasa tupitie njia ngumu na sio kiulainilaini kama watu walivyozoea..kuelekea uchumi wa kati wa viwanda si mchezo , si lelemama..nakupongeza kwa uelewa huo
Uchumi wa kati upi wa kutoka 7.2 mpaka 4??? hii ndio vita sio
 
Watu hawataki kubadilika. Lazima heshima na nidhamu iwepo. Uhuru wa kuongea haina maana kutusi na kudhalilisha au kusema lolote tu ilimradi.

Kuna wabunge wanatoa kauli za ajabu mpaka ikawa tunajiuliza hawa jamaa wanavuta bangi kwanza kabla ya kuingia kwenye session?

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kuwa na makengeza kutetea waovu . Tunajua vita kubwa iliyopo kuanzia mbinguni na duniani ni kati ya wema na uovu.

Watenda maovu wanapenda kutukuzwa sana lakini hawapendi kutenda mema zaidi ya kutaka kila jema liwe lao :-

Mishahara mikubwa yao.
Posho kubwa zao.
Magari mazuri yao.
Ukumbi mkubwa wao.
Ukumbi mzuri wenye viti vya kifahari wao wakati wanafunzi wanakaa chini.
Kuitwa waheshimiwa wao.
Kunyenyekewa wao.
Kuita wenzao kwa kejeli na vitisho vya pingu wao.
Kuchukua kiinua mgongo 100% wao.
Kuchukua kiinua mgongo kila baada ya miaka mitano wao.
Kulipwa mishahara mikubwa na kukaa bungeni bila kujali kiwango cha Elimu wao.
Mbunge Darasa la saba lakini dereva awe form four na kuendelea.
Wapendelewe na kupewa ubunge hata kama Wameshindwa kwenye uchaguzi.
Kuchukua gongo na kuwapiga wengine hakuna shida alimradi wao hata kidole wasinyoshewe.
Kuwafananisha wengine na mbwa wao.
Kuambiwa kuwa wamefanya udhaifu na kushindwa kuisimamia serikali wanaona wamekosewa heshima sana ni bora Mali za umma na fedha zote za maendeleo zitafunwe kuliko heshima na vyeo vyao viguswe.
... Ni hulka ya watu wabinafsi.

Tunaamini wema utashinda tu kwa kuwa ni vita iliyoanzishwa na Mungu Mwenyewe. Mara nyingi watu wema wapo tayari kupoteza kila kitu lakini wasimame kwenye haki na uadilifu tofauti na waovu wanaowaza heshima,raha,ulevi ,anasa , vyeo,fedha na Mali tuu bila kutosheka maisha yao yote mpaka siku ya kufa ndio wanagundua kuwa haki na utu ndio ulikua wa muhimu.

Ni Tanzania pekee mtu aliyejaribu kumuua mgombea mwenzake kwa kumpiga na kitu kizito anapewa mpaka Uspika na kuvalishwa Joho. Vazi la heshima na linaloashiria uongozi wa haki ,busara na hekima kubwa .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nina mtazamo tofauti kidogo kuhusiana na tabia ya "ukali" wa Spika wa Bunge la JMT, Ndg. Job Ndugai hasa katika Awamu hii ya 5.

Zama zimebadilika. Taasisi na mihimili imeanza kuonesha makali ya kusimamia maadili na principles tofauti na kubembelezana kama tulivyozoea.

Ukali wa Ndugai unaonekana wa ajabu kwa sababu sivyo tulivyozoea. Tulizoea kuchekeana kwenye mambo serious na hata yale madogo madogo ambayo mwishowe yalipelekea vyombo vya uongozi kudharaulika na kutoheshimika. Likiwemo Bunge letu tukufu.

Ndugai anarudisha heshima ya Bunge the hard way. Kuanzia nidhamu za wabunge mpaka wanaofanya nalo kazi na hata wananchi wanaoshindwa kulipa heshima yake.

Anachokifanya Ndugai kwa maslahi ya Bunge, kinafanywa na Rais Serikalini na Judges huko Mahakamani.

Mihimili hii mitatu inafuata falsafa moja kwa sasa. Nidhamu.

Jeshi la Polisi na JWTZ nao tumeona wameanza kufuata njia hiyo hiyo.

Namuelewa sana Job Ndugai. Nyakati zimebadilika. Tuache mazoea.

Sent using Jamii Forums mobile app
UKWELI GANI WAKATI BUNGE LINASHINDWA KUISIMAMIA SERIKALI?, IMEKUWA VICE VERSA BUNGE NDILO LINASIMAMIWA NA SERIKALI NA KUFUNDISHWA LIVUNJE SHERIA, HIVI WEWE UNAELEWA KAZI ZA JESHI NI NINI? UNAELEWA POLISI KAZI YAO NI NINI? TANGU LINI JESHI LINAFANYA KAZI YA POLISI KUFUATILIA RAIA WASIOVUNJA SHERIA ILA TU WANAOTOA MAWAZO YAO KAMA INAVYOTAKA KATIBA. NAONA MAGUFULI NA HUYO NDUGAI WANA AJENDA MBAYA.
 
Nina mtazamo tofauti kidogo kuhusiana na tabia ya "ukali" wa Spika wa Bunge la JMT, Ndg. Job Ndugai hasa katika Awamu hii ya 5.

Zama zimebadilika. Taasisi na mihimili imeanza kuonesha makali ya kusimamia maadili na principles tofauti na kubembelezana kama tulivyozoea.

Ukali wa Ndugai unaonekana wa ajabu kwa sababu sivyo tulivyozoea. Tulizoea kuchekeana kwenye mambo serious na hata yale madogo madogo ambayo mwishowe yalipelekea vyombo vya uongozi kudharaulika na kutoheshimika. Likiwemo Bunge letu tukufu.

Ndugai anarudisha heshima ya Bunge the hard way. Kuanzia nidhamu za wabunge mpaka wanaofanya nalo kazi na hata wananchi wanaoshindwa kulipa heshima yake.

Anachokifanya Ndugai kwa maslahi ya Bunge, kinafanywa na Rais Serikalini na Judges huko Mahakamani.

Mihimili hii mitatu inafuata falsafa moja kwa sasa. Nidhamu.

Jeshi la Polisi na JWTZ nao tumeona wameanza kufuata njia hiyo hiyo.

Namuelewa sana Job Ndugai. Nyakati zimebadilika. Tuache mazoea.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mke wa ndugai katika ubora wako!! laza umuelewe ili na wew uendelee kuhuchuria chooni,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugai
tapatalk_1553711244002.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nina mtazamo tofauti kidogo kuhusiana na tabia ya "ukali" wa Spika wa Bunge la JMT, Ndg. Job Ndugai hasa katika Awamu hii ya 5.

Zama zimebadilika. Taasisi na mihimili imeanza kuonesha makali ya kusimamia maadili na principles tofauti na kubembelezana kama tulivyozoea.

Ukali wa Ndugai unaonekana wa ajabu kwa sababu sivyo tulivyozoea. Tulizoea kuchekeana kwenye mambo serious na hata yale madogo madogo ambayo mwishowe yalipelekea vyombo vya uongozi kudharaulika na kutoheshimika. Likiwemo Bunge letu tukufu.

Ndugai anarudisha heshima ya Bunge the hard way. Kuanzia nidhamu za wabunge mpaka wanaofanya nalo kazi na hata wananchi wanaoshindwa kulipa heshima yake.

Anachokifanya Ndugai kwa maslahi ya Bunge, kinafanywa na Rais Serikalini na Judges huko Mahakamani.

Mihimili hii mitatu inafuata falsafa moja kwa sasa. Nidhamu.

Jeshi la Polisi na JWTZ nao tumeona wameanza kufuata njia hiyo hiyo.

Namuelewa sana Job Ndugai. Nyakati zimebadilika. Tuache mazoea.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani dawa bora ilikuwa ni kubadilika ilitakiwa arekebishe madhaifu mdipo aanze huo ukali wake.

otherwise ukali wake unalenga kuwatisha watu kumweleza ukweli ambapo huu hauna ufanisi wowote ule.
Ni dhahiri bunge linapokuwa na upendeleo haliwezi kusimamia haki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom