Binafsi namuelewa Spika Job Ndugai

Binafsi namuelewa Spika Job Ndugai

Nina mtazamo tofauti kidogo kuhusiana na tabia ya "ukali" wa Spika wa Bunge la JMT, Ndg. Job Ndugai hasa katika Awamu hii ya 5.

Zama zimebadilika. Taasisi na mihimili imeanza kuonesha makali ya kusimamia maadili na principles tofauti na kubembelezana kama tulivyozoea.

Ukali wa Ndugai unaonekana wa ajabu kwa sababu sivyo tulivyozoea. Tulizoea kuchekeana kwenye mambo serious na hata yale madogo madogo ambayo mwishowe yalipelekea vyombo vya uongozi kudharaulika na kutoheshimika. Likiwemo Bunge letu tukufu.

Ndugai anarudisha heshima ya Bunge the hard way. Kuanzia nidhamu za wabunge mpaka wanaofanya nalo kazi na hata wananchi wanaoshindwa kulipa heshima yake.

Anachokifanya Ndugai kwa maslahi ya Bunge, kinafanywa na Rais Serikalini na Judges huko Mahakamani.

Mihimili hii mitatu inafuata falsafa moja kwa sasa. Nidhamu.

Jeshi la Polisi na JWTZ nao tumeona wameanza kufuata njia hiyo hiyo.

Namuelewa sana Job Ndugai. Nyakati zimebadilika. Tuache mazoea.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna Jambo linakusumbua

Mahaba niue nakukosa uzalendo ni ugonjwa unakusumbua sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kinachomfanya aite dhaif ni kuwa hawafanyii kaxi baadhi ya mambo yatolewayo na report zake.
Yes bunge si malaika kuwa hawakosei. Yes mle ndani kuna watu tofauti tofauti..
Haka kaugonjwa cha bunge kumezea. Baadhi ya mambo ktk report.. ni udhaifu wa bunge.
Na hapa hakuna kufichana.. ukweli lazima usemwe

Sent using Jamii Forums mobile app
Nakusimamisha kuendelea kuchangia huu mjadala [emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huo mtazamo wako uko upande wa ukali wa spika tu?? huo ukali uweke katika mizani halafu upande mwingine uweke report ya CAG kuhusu ubadhirifu na kisha ujazie na huo ukali kushindwa kuhoji ubadhirifu wakati ni sehemu ya jukumu lake.
Ukisoma Uzi wangu nimeandika measures anazochukua Ndugai kwa ujumla. Ndio maana nikaweka in relation to what the President is doing as well as the seniors huko kwenye Judiciary.

Sijaongelea ishu ya CAG kabisa. Japo nayo imo..

Tatizo mnapenda kwenda na upepo sana. Au mnasomaga title tu kisha mnaanza kutema nyongo?
 
Kurudisha heshima ya bunge the hard way ni sentensi yako yenye kujitosheleza kujibiwa kwa maelezo niliyotoa, tatizo unataka nijadili kama unavyotamani, huwezi kurudisha heshima ya bunge kama utaapuuza katiba, huwezi kurudisha heshima ya bunge kama utapitisha sheria kandamizi. huwezi kama utakuwa na double standards, huwezi kama una UDHAIFU wa kuisimamia serikali, huwezi kama utashindwa kuhoji ufisadi na ubaridhifu kwa kushupalia kudeal na upinzani THE HARD WAY. huwezi kamwe.
 
Nina mtazamo tofauti kidogo kuhusiana na tabia ya "ukali" wa Spika wa Bunge la JMT, Ndg. Job Ndugai hasa katika Awamu hii ya 5.

Zama zimebadilika. Taasisi na mihimili imeanza kuonesha makali ya kusimamia maadili na principles tofauti na kubembelezana kama tulivyozoea.

Ukali wa Ndugai unaonekana wa ajabu kwa sababu sivyo tulivyozoea. Tulizoea kuchekeana kwenye mambo serious na hata yale madogo madogo ambayo mwishowe yalipelekea vyombo vya uongozi kudharaulika na kutoheshimika. Likiwemo Bunge letu tukufu.

Ndugai anarudisha heshima ya Bunge the hard way. Kuanzia nidhamu za wabunge mpaka wanaofanya nalo kazi na hata wananchi wanaoshindwa kulipa heshima yake.

Anachokifanya Ndugai kwa maslahi ya Bunge, kinafanywa na Rais Serikalini na Judges huko Mahakamani.

Mihimili hii mitatu inafuata falsafa moja kwa sasa. Nidhamu.

Jeshi la Polisi na JWTZ nao tumeona wameanza kufuata njia hiyo hiyo.

Namuelewa sana Job Ndugai. Nyakati zimebadilika. Tuache mazoea.

Sent using Jamii Forums mobile app
YOUR HEAD NEED A BRAIN SCAN
 
Ndugai ni moja ya Spika dhaifu kupata kutokea katika Mabunge ya Jumuia ya Madola.Sijui nini kimemkuta ,,nakumba akiwa Naibu spika aliweza kujitahidi sana,,,Lakini Tangu amekuwa spika hasa hasa alipokwenda India Kutibiwa na Kurudi amebadilika sana,,,,,,,,,Amekuwa Spika Dhaifu sana. Ameshindwa kulisimamia Bunge kama taasisi ,,,,,,
Najuta sana,,,Miaka yake ya Uongozi wa Bunge , Bunge limepoteza mvuto na uhalisia wake,,,,,Kwa kweli Spika ndiyo dhaifu sana kama kiongozi na Si Bunge.
 
Nina mtazamo tofauti kidogo kuhusiana na tabia ya "ukali" wa Spika wa Bunge la JMT, Ndg. Job Ndugai hasa katika Awamu hii ya 5.

Zama zimebadilika. Taasisi na mihimili imeanza kuonesha makali ya kusimamia maadili na principles tofauti na kubembelezana kama tulivyozoea.

Ukali wa Ndugai unaonekana wa ajabu kwa sababu sivyo tulivyozoea. Tulizoea kuchekeana kwenye mambo serious na hata yale madogo madogo ambayo mwishowe yalipelekea vyombo vya uongozi kudharaulika na kutoheshimika. Likiwemo Bunge letu tukufu.

Ndugai anarudisha heshima ya Bunge the hard way. Kuanzia nidhamu za wabunge mpaka wanaofanya nalo kazi na hata wananchi wanaoshindwa kulipa heshima yake.

Anachokifanya Ndugai kwa maslahi ya Bunge, kinafanywa na Rais Serikalini na Judges huko Mahakamani.

Mihimili hii mitatu inafuata falsafa moja kwa sasa. Nidhamu.

Jeshi la Polisi na JWTZ nao tumeona wameanza kufuata njia hiyo hiyo.

Namuelewa sana Job Ndugai. Nyakati zimebadilika. Tuache mazoea.

Sent using Jamii Forums mobile app

Wewe unamwona Kafanya makubwa pale anapofukuza watu bungeni, unamwonaje pale ambapo anaogopa kufuatilia upotevu wa fedha za umma?
 
Back
Top Bottom