Binafsi namuelewa Spika Job Ndugai

Binafsi namuelewa Spika Job Ndugai

Nina mtazamo tofauti kidogo kuhusiana na tabia ya "ukali" wa Spika wa Bunge la JMT, Ndg. Job Ndugai hasa katika Awamu hii ya 5.

Zama zimebadilika. Taasisi na mihimili imeanza kuonesha makali ya kusimamia maadili na principles tofauti na kubembelezana kama tulivyozoea.

Ukali wa Ndugai unaonekana wa ajabu kwa sababu sivyo tulivyozoea. Tulizoea kuchekeana kwenye mambo serious na hata yale madogo madogo ambayo mwishowe yalipelekea vyombo vya uongozi kudharaulika na kutoheshimika. Likiwemo Bunge letu tukufu.

Ndugai anarudisha heshima ya Bunge the hard way. Kuanzia nidhamu za wabunge mpaka wanaofanya nalo kazi na hata wananchi wanaoshindwa kulipa heshima yake.

Anachokifanya Ndugai kwa maslahi ya Bunge, kinafanywa na Rais Serikalini na Judges huko Mahakamani.

Mihimili hii mitatu inafuata falsafa moja kwa sasa. Nidhamu.

Jeshi la Polisi na JWTZ nao tumeona wameanza kufuata njia hiyo hiyo.

Namuelewa sana Job Ndugai. Nyakati zimebadilika. Tuache mazoea.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wapuuzi hawatakaa waishe duniani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Well said ndugu..huu ndio ukweli wenyewe..lazima watu tubadilike twende na nyakati za sasa..tupo katika vita ya kiuchumi sasa kwa sababu tumeamua wenyewe kupaa kiuchumi..ni lazima sasa tupitie njia ngumu na sio kiulainilaini kama watu walivyozoea..kuelekea uchumi wa kati wa viwanda si mchezo , si lelemama..nakupongeza kwa uelewa huo
kutoka 7 tunapaaa mpaka 4

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata Uganda Idi Amin alivyoingia kulikua na nidhamu na utii kuliko huu wa Magu, hiyo nikawaida ya Madikteta..Eti nidhamu!!, Mnauelewa wa chini sana kuhusu thamani ya Utu na Maisha.
 
Well said ndugu..huu ndio ukweli wenyewe..lazima watu tubadilike twende na nyakati za sasa..tupo katika vita ya kiuchumi sasa kwa sababu tumeamua wenyewe kupaa kiuchumi..ni lazima sasa tupitie njia ngumu na sio kiulainilaini kama watu walivyozoea..kuelekea uchumi wa kati wa viwanda si mchezo , si lelemama..nakupongeza kwa uelewa huo

Uchumi unatarajiwa kukua kwa 4% ww unasema uchumi kupaa. Tulihitaji viongozi wakali, lakini tunaona hamna ukali bali ni jazba toka kwa jiwe, na vibaraka wake nao wanaiga. Huyo CAG amegoma kuwa mpika data, subirini kumuweka CAG atakayepigania tumbo mumiagize apike data.
 
Suala la Mbunge kupigwa risasi ulilifuatilia vizuri mkuu?

Unajua role iliyochezwa na Bunge na Serikali kuokoa uhai wa Mbunge huyo katika hatua za awali kabisa kabla siasa hazijaingia na kuanza kupandishiana mabega?

Sent using Jamii Forums mobile app

Hatua za bunge na serikali kuhusu huyo mbunge zilifanyika siku ile ya mwanzo kabla ya maagizo toka juu kuhusu lengo la maisha ya huyo mbunge. Mbunge apigwe risasi spika ambaye ndio kiongozi asiende hata kumtembelea kinafiki!? Hapo utaacha kusema bunge ni dhaifu, liko linasubiri kutii hisia za jiwe tu.
 
Tuheshimiane kwanza ili tusikilizane na kushirikiana. Huwezi kunidharaulisha halafu ukatarajia tutahusiana vizuri.

Mambo mengi sikubaliani na Ndugai, lakini hili la kusimamia heshima ya Bunge namuunga mkono.

Tukosoane kistaarabu!

Sent using Jamii Forums mobile app

Kuna tofauti ya kuheshimiana, kuogopana na kunyenyekeana. Awamu hii inataka kunyenyekewa na kuogopwa.
 
Nina mtazamo tofauti kidogo kuhusiana na tabia ya "ukali" wa Spika wa Bunge la JMT, Ndg. Job Ndugai hasa katika Awamu hii ya 5.

Zama zimebadilika. Taasisi na mihimili imeanza kuonesha makali ya kusimamia maadili na principles tofauti na kubembelezana kama tulivyozoea.

Ukali wa Ndugai unaonekana wa ajabu kwa sababu sivyo tulivyozoea. Tulizoea kuchekeana kwenye mambo serious na hata yale madogo madogo ambayo mwishowe yalipelekea vyombo vya uongozi kudharaulika na kutoheshimika. Likiwemo Bunge letu tukufu.

Ndugai anarudisha heshima ya Bunge the hard way. Kuanzia nidhamu za wabunge mpaka wanaofanya nalo kazi na hata wananchi wanaoshindwa kulipa heshima yake.

Anachokifanya Ndugai kwa maslahi ya Bunge, kinafanywa na Rais Serikalini na Judges huko Mahakamani.

Mihimili hii mitatu inafuata falsafa moja kwa sasa. Nidhamu.

Jeshi la Polisi na JWTZ nao tumeona wameanza kufuata njia hiyo hiyo.

Namuelewa sana Job Ndugai. Nyakati zimebadilika. Tuache mazoea.

Sent using Jamii Forums mobile app
Na wewe nakuona dhwaifu kuliko hata huyo NDUGU YAI
 
Punguza utakataka wako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukali kwenye mini? He,no kwenye kuisimamia serikali mf. Kutoheshimu bajeti waliyoipitisha? Au ni kwenye kutetea RAIA na bunge mfano mbunge kupigwa risasi akiwa kazini,je,nikwenye kutunga sheria zinazokabili majizi ya rasilimali??

Ukali unatakiwa uelekezwe kwenye kazi muhimu sio mambo ya hovyohovyo!! Ukali kiss umekosolewa?? Huo ni ujinga wa hali ya juu.

Binadamu wrote tumeumbwa na udhaifu hakuna aliyekamilika hata mmoja kwahivyo kuambiwa mnamadhaifu hiyo ni kawaida kwa mtu usopenda majivuni na kutaka kuogopwa.
Kwenye kudharau bunge kwa kejeli za lugha zenye kuuthi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hamna kitu pale... maslah binafsi ndo yanayotiliwa ukali, but anyway hamna marefu yasiyo na mwisho .. na kila mtu atalipwa kutokana na nia yake! sisi wananchi maskini yetu ni macho na masikio ngoja tuangalie hii series ya political inteprenuire..
 
Huna hata aibu. Man are you deaf?
Kuwa mkali ndio lakin tumia akili..
Ukiwa mkali kishambashamba utaonekana mshamba..
CAG si meber wa bunge means bunge halina power of CAG.
Mwambie speaker atambue mipaka yake kuwa ni within bunge.. he cant control beyond that.

Unataka kurudisha heshima ya bunge. Act as a leader.. not like a toddler.
Kwahiyo kutokuwa member wa bunge ndo uwaite wenzio DHAIFU ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uzi huu ni dhaifu..

Ukali ilibidi uwe katika mambo ya msingi ya kuisimamia serikali
 
Nina mtazamo tofauti kidogo kuhusiana na tabia ya "ukali" wa Spika wa Bunge la JMT, Ndg. Job Ndugai hasa katika Awamu hii ya 5.

Zama zimebadilika. Taasisi na mihimili imeanza kuonesha makali ya kusimamia maadili na principles tofauti na kubembelezana kama tulivyozoea.

Ukali wa Ndugai unaonekana wa ajabu kwa sababu sivyo tulivyozoea. Tulizoea kuchekeana kwenye mambo serious na hata yale madogo madogo ambayo mwishowe yalipelekea vyombo vya uongozi kudharaulika na kutoheshimika. Likiwemo Bunge letu tukufu.

Ndugai anarudisha heshima ya Bunge the hard way. Kuanzia nidhamu za wabunge mpaka wanaofanya nalo kazi na hata wananchi wanaoshindwa kulipa heshima yake.

Anachokifanya Ndugai kwa maslahi ya Bunge, kinafanywa na Rais Serikalini na Judges huko Mahakamani.

Mihimili hii mitatu inafuata falsafa moja kwa sasa. Nidhamu.

Jeshi la Polisi na JWTZ nao tumeona wameanza kufuata njia hiyo hiyo.

Namuelewa sana Job Ndugai. Nyakati zimebadilika. Tuache mazoea.

Sent using Jamii Forums mobile app
Shukuru Tu yakuwa humu kuna option ya likes tu hakuna dislikes maaana ungeondoka Na kapu limejaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hamtakosekana wa kumuelewa,kama wewe,Msukuma,Kibajaji,Mlinga n.k

Ni vivyo hivyo CAG Assad (Simba) anarudisha nidhamu katika kufuata sheria za matumizi ya fedha za umma. Haiwezekani Tsh. Trilioni nne na ushei zitumiwe bila maelezo halafu halafu bunge linaloisimamia serikali likae kimya then CAG asiseme kuwa kutokufanya hivo ni udhaifu wa bunge. Mwaka huu lazima kieleweke.
 
Back
Top Bottom