Binadamu wote ni sawa? Kwa muktadha upi?

Binadamu wote ni sawa? Kwa muktadha upi?

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,454
Reaction score
872,083
1473819326065.jpg
1473819329906.jpg
 
Ni sawa kwa hewa tu.....

Misosi, pa kulala na maisha kiujumla ni tofauti kabisa
 
Huwa sipendi mipicha ya kuhuzunisha, lakini no way lazima ukweli/ hali halisi iwekwe bayana
 
Wenyewe wanaiita AID Porn.. au poverty porn.. wanachukua picha mbaya kabisa ili iwahuzunishe watu watoe misaada..

Hizi picha ndio zinaharibu image ya Africa duniani.. ukiangalia hao watoto wapo sehemu chache sana ila wanazitumia kufanya generalisation ya watu wa bara zima..
 
Back
Top Bottom