Binadamu wachomwa kama ndafu Mkoani Dodoma

Binadamu wachomwa kama ndafu Mkoani Dodoma

jose mjasiriamali

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2014
Posts
1,770
Reaction score
1,603
Dodoma.png

Ni tukio la kusikitisha sana, limetokea mkoa wa Dodoma,wilaya ya Chemba,tarafa ya Goima,kijiji cha Igunga ambapo watu wawili wanaosadikika kuwa ni wezi wamechomwa moto hadi kufa. Ni kitendo cha kikatili kwa kweli.

Chanzo: Mimi mwenyewe nilikuwa eneo la tukio
 
Hatari sana
 

Attachments

  • 1426435255876.jpg
    1426435255876.jpg
    75.2 KB · Views: 4,257
  • 1426435298770.jpg
    1426435298770.jpg
    80.9 KB · Views: 1,877
  • 1426435315601.jpg
    1426435315601.jpg
    69.5 KB · Views: 1,816
Ni huzuni sana kiukweli
 

Attachments

  • 1426435720966.jpg
    1426435720966.jpg
    73.5 KB · Views: 1,533
Mmmh!!!!! Kazi ya binadamu hii, inasikitisha sana

Na hawajathibitisha ila wanahisiwa tu!!ila ni kitendo ambacho hata wenyeji hapa kijijini hawajaridhishwa nacho, ni kama ubabe flani iv kwamba mtu ana hela kwa hiyo anaweza kufanya chochote
 
Kuna kipindi watu ubinadamu huwa unawatoka kutokana na matukio wanayotendewa na wanadamu wenzao.....

Ila angalau uthibitishe basi, ila kuhisi tu mkachukua maamuz kama hayo ni hatari, halafu kwenye kijiji kidogo kama hiki?? Nakosa amani sana kuwa hapa maana mauwaji ya watu yamezidi
 
Na hawajathibitisha ila wanahisiwa tu!!ila ni kitendo ambacho hata wenyeji hapa kijijini hawajaridhishwa nacho, ni kama ubabe flani iv kwamba mtu ana hela kwa hiyo anaweza kufanya chochote

Mmmh!!! ndio ishatokea lakini si kitendo cha kiungwana.
 
Mimi binafsi nawaunga mkono hao Wananchi waliofanya hilo tukio.

Wezi ni watu hatari sana, ndani ya dk moja wanaweza kubadili mfumo wa Maisha yako.

Kwa ambao hawajawahi kukutana na hawa viumbe unaweza kuona wameonewa... Ila walichokipata ni haki yao.
 
Ila kwa tukio hili kinachoonekana ni kama kikundi cha watu wachache ndo wametekeleza hayo mauaji kwa sababu wanazozijua wao
 
Ni tukio la kusikitisha sana, limetokea mkoa wa Dodoma,wilaya ya chemba,tarafa ya goima,kijiji cha Igunga ambapo watu wawili wanaosadikika kuwa ni wezi wamechomwa moto hadi kufa. Ni kitendo cha kikatili kwa kweli.

Wacha walipuliwe wanakera sana hawa
 
Mkiona mnauhakika hao ni wezi, halafu mkaona hakuna aliye tiari kupoteza muda kwenda mahakamani kutoa ushahidi ili mtu afungwe, na mkaona kifungo atakachopata hakiendani na kosa. Mnafikia uamuzi wa kummaliza
 
Back
Top Bottom