Binadamu wachomwa kama ndafu Mkoani Dodoma

Binadamu wachomwa kama ndafu Mkoani Dodoma

View attachment 235222

Ni tukio la kusikitisha sana, limetokea mkoa wa Dodoma,wilaya ya Chemba,tarafa ya Goima,kijiji cha Igunga ambapo watu wawili wanaosadikika kuwa ni wezi wamechomwa moto hadi kufa. Ni kitendo cha kikatili kwa kweli.

Chanzo: Mimi mwenyewe nilikuwa eneo la tukio

Duuuu hii hukumu ya wananch wanaojiita wenye hasira Kali mmmh balaaa
 
Inavyoonekana wewe unajua nani ametuma hilo kundi la watu na kwa sababu zipi ila tu hutaki kusema. haya tuambie nani ametuma hao watu wakawateketeze hao jamaa wawili bila kosa lolote wanalotuhumiwa?! kwani walichukua mke wa mtu..??! funguka!
 
Jamaa washakamatwa tayari
 
kama hata walichoiba wananchi wa kijiji chao hawakijui je hao wananchi wenye hasira yakuchoma moto wenzao ni wepi?au wamekodiwa?

Suala la kuwapandisha watu wanaosemekana wana hasira kali kwenye gar kwenda kutekeleza adhma yao ndp lililotuacha na maswali hapa kijijini, ila tuwaachie polisi ukweli utajulikana
 
kama hata walichoiba wananchi wa kijiji chao hawakijui je hao wananchi wenye hasira yakuchoma moto wenzao ni wepi?au wamekodiwa?

Wanaosemekana wana hasira kali walichukuliwa na gar kwenda kutekeleza adhma yao hiyo, ni kitu kinachituacha na maswali hapa kijijini kwamba ni kweli ni hasira au kuna kitu nyuma ya hilo tukio, tuwaache polisi wafanye kazi yao, nitahakikisha nawa update kila kinachoendelea
 
Pengine wasingewawahi hao wezi wangeua wengine wasio hatia. Mshahara wa dhambi ni mauti, Mungu awaweke wanapostahili.
 
Back
Top Bottom