Binadamu & Viumbe hai tuna faida gani Duniani?

Binadamu & Viumbe hai tuna faida gani Duniani?

Kuna siku niliwaza, hivi itakuwaje siku jua likizimika ghafla?
Kuna siku litazimika. Tuseme muda maana haitokuwa siku kama jua halitokuwepo tena. Muda huo ukifika litakuwa limetumia nishati yake yote na kuvimba hadi kulipuka. Lakini sio leo wala kesho. Sisi na vitukuu wa vitukuu wetu tutageuka na kuwa vumbi au gesi au mafuta kwanza kabla muda husika kutimia. Ni maelfu lukuki ya miaka mbeleni. Haliwezi kuzimika ghafla. Ondoa shaka ndugu.
 
Kuna namna nahisi vingi vilivyotuzunguka siyo permanent kabisa.
Kweli hamna kilicho cha milele. Sisi wenyewe ni temporary sana,sana. Miaka 40 tu baada ya kuzaliwa seli mwilini zinaanza kupungua kasi kuzaliana. Tunaanza kutaabika na kufa taratibu. Na hapo ni kwa kuepuka ajali na magonjwa ya kuambukiza. Wengi hufa wakati au baada ya kuzaliwa, utotoni n.k.... kila kitu ni cha muda tu.
 
Kuna siku litazimika. Tuseme muda maana haitokuwa siku kama jua halitokuwepo tena. Muda huo ukifika litakuwa limetumia nishati yake yote na kuvimba hadi kulipuka. Lakini sio leo wala kesho. Sisi na vitukuu wa vitukuu wetu tutageuka na kuwa vumbi au gesi au mafuta kwanza kabla muda husika kutimia. Ni maelfu lukuki ya miaka mbeleni. Haliwezi kuzimika ghafla. Ondoa shaka ndugu.
Jua litameza sayari zote kwenye mfumo wake kabla ya kulipuka mwishoni... nadhani hakuna atakayeshuhudia hilo tukio.
 
Back
Top Bottom