Fahari ya kusini
JF-Expert Member
- Nov 26, 2022
- 449
- 1,696
Ni sahihi.. ndio maana cheti kina overall GPAGPA ukija kwenye soko la ajira haina maana yoyote aswa kwenye taasisi za umma wanachoangalia ni uonyeshe uwezo ufaulu interviews zote za utumishi hawaangalii GPA,wanapoangalia GPA ni ya ngapi ni kwenye kazi za u lecturers pekee, kuna jobless kibao na GPA zao za 4-5 na kuna sisi waajira serikalini tuna GPA zetu za 3 kushuka chini kibao tumeajiriwa,
Nathaniel umeshanielewq
Atakuwa mwanafunzi nini aliyeleta huo uzi maana kwa mtumishi aliyekazini na anafahamu uhalisia hawezi kuandika huo ujingaHauna akili wewe mimi chuo nilipata GPA ya 3.2 nilipata scholarship kwenda kusoma abroad tena URusi
Yah watu wanataka cheti tu hawahitaji GPA wala transcript we faulu tu interview zote mbili unapewa kazi,sasa mtu ana GPA ya 5 halafu kwenye interview Hola hapo nani atakuchukua si unaonekana magumashi tu naNi sahihi.. ndio maana cheti kina overall GPA
Ule udambwi dambwi wa kwenye transcript haupo.
🚮Binadamu wa kawaida unapataje GPA below 4.8 we ni binadamu wa kawaida? Hivi mniambie binadamu hasa unapata GPA below 4.8 wewe utakuwa binadamu au mnyama sasa unatofuti gani na kuku ambae wanasema Hana akili? Serikali ipige marufuku kuwaajiri hawa watu wanaleta ufanisi mdogo serikali nyie ndiyo mnafanya waTanzania wote tuonekane wajinga kwa kutokuwa na akili sasa kama wewe unajua hauna akili unaenda chuo kufanya nini?
Si uende soko la shekilango kuuza kuku na mayai yake?
Unapata GPA below 4.8 na unafurahi kuwepo hapa duniani bila mshipa wa aibu na unaoa kabisa sasa wewe unaenda kuzaa mtoto wa aina gani kama wewe mwenyewe hauna akili na mke wako hana akili kwahiyo unaenda kuleta watoto wasio na akili hapa duniani!! Aibu yako