Inasemekana binadamu tunapofanya tendo la ndoa tunaiga style za wanyama
1. Kwenda Chumvini - tunawaiga Mbuzi, Ng'ombe na Farasi
2. Kichuma Mboga - Tunawaiga Mbwa
3. Kifo cha Mende - Nyani na Paka
4. Kula denda - nyiwa
5. Wanawake kulialia wanapokolea - Paka
6. Mwanamke kukalia juu ya mwanaume - tunawaiga masokwe
Labda na wewe ongezea unachojua tunaiga kutoka kwa viumbe wengine

Cha kwetu ni kipi ili niache kuiga jamani.
Hata binadamu pia ni wanyama sio ndege.
ndio hapo tuanze kubuni,
KABANG ya tIGO imeigwa wapi??
inakuwa ngumu kubuni kwasababu wanyama waliumbwa kabla ya binadamu na sisi badae tukaumbwa ili tuvitawale kwahiyo hata kuiga naona tunaruhusiwa ila tuige mazuri. tungeumbwa sisi wa kwanza wanyama ndio wangeiga kwetu ila haikuwa ivyo.
Napendaga nikimuonaga beberu akishaingia mgodini (chumvini) akinyanyua mdomo juu!!!! na mapengo yake tehheee tehee teheee
KABANG ya tIGO imeigwa wapi??
KABANG ya tIGO imeigwa wapi??
Kwa firauni kitimoto......
Kwani kitimoto anapiga 0714? Haaa haaa haaa