Ben Zen Tarot
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 4,392
- 7,875
Nchi ya Japan hivi karibuni inaenda kuruhusu wanasayansi kuzalisha BINADAM-MNYAMA
Unalipi la kusema juu ya hili[emoji780], je mbele za Mungu icho kiumbe kitatambulikeje[emoji3480]
Je baada ya binadamu kuzalisha hawa viumbe watu wataamini kuwa Mungu yupo[emoji781]