Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 18,518
- 34,322
Nilivoiangalia hii ni KANUNI. Kama ni kanuni ni Lazima iwe na misingi yake.Absolutely yes.
Binafsi naamini kwamba Binadamu hana mwanzo wala mwisho, Yupo tu.
Ukianza kuweka ulazima wa kwamba kila kitu kilichopo lazima kiwe na chanzo, Basi hata
"chanzo cha vyanzo" lazima kiwe na chanzo chake,
Mbunifu huyo alitokea wapi?Nikiangalia maumbile ya binadamu na jinsi anavyoishi kwenye hii dunia, najiuliza imekuwaje amekuwa alivyo na jinsi hakuna kiumbe kingine kinachofanana na Binadamu kiutendaji wake.
Ukiangalia Kwa mfano, hivi kweli hakuna mbunifu wa binadamu ambaye ndiye aliyebuni uke ukae kwa mfumo ambao unaweza kuingiliwa na uume.
Hakuna mbunifu aliyebuni mji wa uzazi Kwa mwanamke na kuweka mbegu Kwa mwanaume? Kisha ukifanyika uingilianaji mimba inatungwa.
Baada ya binadamu kuzaliwa ukiangalia kwa makini unaanza kujiuliza, hakuna kweli mbunifu aliyejua kuwa binadamu Ili aishi atahitaji kula hivyo akamuumba akiwa na mdomo?
Mfumo wa kula mpaka kupata haja hakuna mbunifu wake kweli? Yaani mfumo wa mmeng'enyo wa chakula upo tu Wala haukukusudiwa kuwepo ila upo tu. Kweli?
Fikiria macho, masikio, ngozi, na viungo vingine vya binadamu vinavyofanya kazi. Waza kuwa hapa unaposoma hii mada macho, masikio yako yaache kufanya kazi itakuwaje?
Bado nawaza imekuwaje binadamu hana Mwanzo Wala mwisho??
Sawa kabisa.Mbunifu huyo alitokea wapi?
Kabla ya kubuni hivi vitu, Huko aliko kuwa huyu "mbunifu" kulitoka wapi?
Hiyo sehemu aliyo kuwepo huyu mbunifu kabla haja anza ubunifu wake iliumbwa na nani?
Mbunifu huyu aliwezaje kutokea tu Vuuuuuuuuuuh!😄 From Nothing aka anza ubunifu?
Kwamba hakuwa sehemu yeyote ile?
Si kwamba kila chenye mwanzo lazima kiwe na mwanzo, Hapana.Infropreneur hii hoja kwamba kila chenye chanzo ni Lazima kiwe na chanzo na chanzo chake pia kiwe na chonzo unaweza kuirhibitishaje?
Na huoni kwamba (Kwa maelezo yako) eti chanzo kisipojulikana chanzo chake hicho chanzo kipo tu.
Hivi chanzo cha bahari ni nini??
Wewe ulitumia mtazamo gani tofauti na wa kibinadamu, kujua Mungu yupo?Sawa kabisa.
Sasa wewe nimegundua kuwa unawaza kwa mtizamo wa uwezo wako wa kibinadamu
Kwani mbunifu ni Lazima awe na sifa zinazofanana na alivyoviumba? Labda hatujui maana ya kuumbwa
Kwani ni lazima kila kitu kilichopo kiwe kimetengenezwa?Kwa Nini ufikierie kwamba binadamu Hana muimbaji we ukipita mjini unaona vingapi majumba magari, bizaa mbalimbali kutijua tu mmtengenezaji haimannishi vimejitokeza tu vyenyewe
Umewahi ota ndoto,ni jinsi gani unaweza thibitisha ndoto zipo.Wewe ulitumia mtazamo gani tofauti na wa kibinadamu, kujua Mungu yupo?
Mtazamo wako huo ulio utumia kujua Mungu yupo, Unaweza kumthibitisha Mungu huyo yupo kwa namna gani?
Na si mawazo yako ya kufikirika tu?
Ndoto ni illusion (mauza uza)Umewahi ota ndoto,ni jinsi gani unaweza thibitisha ndoto zipo.