kesho kutwa
JF-Expert Member
- Dec 7, 2016
- 1,722
- 1,993
Unajitahidi kujitenga nao lakini wa nakufatilia ili kukuchafulia CV upumbavu huu. Sijui shida ni niniJinsia ya kike kwa kazini honestly ni jipu...japo mie pia wa kike [emoji2]
Sijajua ni damu yangu ya kunguni ama nini lakini maisha yangu ya tangu high school,chuo hata kazini jinsia ya kike ndio imekuwa tatizo zaidi kwangu
Sijui hata nawakosea nini manake kiuhalisia i don't talk much wala sina mazoea sana in real life
Wanakua karibu na boss ukijichanganya unaloKwanza onesha kutojalii watachoka pili
Kazini usipotaka uongelewe na wewe usiongelee mtu.
Mtoa mada Sorry nii ni dharura
Nota Bene 59124 sikupati kwenye simu.
Zile nguo ulizovua juzi wakati umelewa ukasema Nasaula, zipo kwa Balozi..

Naelewa mkuuUnajitahidi kujitenga nao lakini wa nakufatilia ili kukuchafulia CV upumbavu huu. Sijui shida ni nini
Yani jinga moja linaweza kukufanya uchukie kaziNaelewa mkuu
Mtu hujawahi mkosea,na anatakiwa yeye aripoti kwako ila anavyokuja kuripoti ni kama mlishawahi kuibiana kitu [emoji2][emoji2]
Tuishi nao tu
Halafu ukute kila mwanamke naye anamuona jinsia ya kike mwingine ni jipu[emoji23]Jinsia ya kike kwa kazini honestly ni jipu...japo mie pia wa kike [emoji2]
Sijajua ni damu yangu ya kunguni ama nini lakini maisha yangu ya tangu high school,chuo hata kazini jinsia ya kike ndio imekuwa tatizo zaidi kwangu
Sijui hata nawakosea nini manake kiuhalisia i don't talk much wala sina mazoea sana in real life
I always do so, there are other situations that push you to defend yourself.Do your work get salary go home
Hii ndio shidaHalafu ukute kila mwanamke naye anamuona jinsia ya kike mwingine ni jipu[emoji23]
Yaani hata hawajioni kuwa ni tatizo, maana kila mmoja anaona titizo lipo kwa mwingine.
Hapo utaambiwa unaringa 😀 😀 😀Jinsia ya kike kwa kazini honestly ni jipu...japo mie pia wa kike 😃
Sijajua ni damu yangu ya kunguni ama nini lakini maisha yangu ya tangu high school,chuo hata kazini jinsia ya kike ndio imekuwa tatizo zaidi kwangu
Sijui hata nawakosea nini manake kiuhalisia i don't talk much wala sina mazoea sana in real life
Don't engage, sometimes you need to withdraw. Put much focus on your family......I always do so, there are other situations that push you to defend yourself.
What if muhusika yupo karibu na boss? Inabidi utulie tu mkuu unatafuta ustaarabu mwingine.Kwahiyo humu ndo kazini kwako? We kama mwanaume mfuate mhusikachane live acha uoga kuja kurusha mawe giziani badala umlenge mhusika
Hii ni shidaYani jinga moja linaweza kukufanya uchukie kazi
Ukienda kulala bado wanakusengenya mpaka basoUtasha ngaza km hupati raha