Nimeona binadamu hatukubali ukweli nikitolea mfano wa Arumeu. Miaka yote CCM ilikuwa na mbunge Arumeru. Hakuwatimizia wananchi mahitaji Yao km ardhi nk. Sasa iweje Leo ataweza kuyatatua? Wananchi wa Arumeru fanyeni mabadiliko ya mbunge na mtapata mabadiliko ya maisha. Ardhi yenu itakuwa kwafaida yenu. Nashangaa magamba wanasema eti watamwambia JK statue matatizo yao. Zamani walikuwa wapi? Wanachi wamechoka kudanganywa. Kilala heri CDM.