Binadamu hana kanuni tena haeleweki kabisaaaaaaaa

Binadamu hana kanuni tena haeleweki kabisaaaaaaaa

Fundi mahiri wa Ujenzi

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2012
Posts
5,048
Reaction score
4,449
Salaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaam

Hebu jiulize hapo ulipo wewe unaesoma uzi huu ni nini unapenda sana katika maisha yako

1.
2.
3.
4.
5.

Hizo namba hapo juu naomba uzijaze kwa mtiririko huu;
Namba moja jaza first priority yako (what you love to the most) kisha jaza kinachofuatiwa kupendwa, fuata mtiririko huo mpaka namba 5.

Halafu nitarudi kukuonyesha kilicho nistaabisha usiku wa kuamkia leo
 
Dawa ya mitihani ya kipuuzi kama hii ni kuchora mazombie tu....
ndalichako.jpg
 
Back
Top Bottom