Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 34,961
- 80,256
Sijasoma haha.. kuna part 1 yake niliiona jana sehemu. Jamaa anachokosea ni kutokuremba mwandiko hasa kuacha Aya .Hebu
Nipe brief description ya story
Aisee
Sijasoma haha.. kuna part 1 yake niliiona jana sehemu. Jamaa anachokosea ni kutokuremba mwandiko hasa kuacha Aya .Hebu
Nipe brief description ya story
Aisee
Sawa....nimekulewa.......!!!!Mkuu jitahidi uweke aya kwenye stori yako.
Asante ndugu yangu....masaibu ya dunia ndio hayo yalionikuta..Pole jamani..nimeogopa kweli yani